watu wenyewe wanaonekana wamepigika kinoma na pia si wengi wa kutisha. Kagari kamoja na speaker mbovu mbili tu, tehe tehe tehe tehe.
ukombozi wa kweli na mapinduzi ni kwa waliopigika! uliona wapi mwenye afya akahitaji tabibu? hukusoma ktk vitabu vya historia? pote duniani walioanzisha harakati za kimapinduzi ni tabaka la watu waliopigika! nyie mnaojiona mmeshiba na hivyo viliba tumbo wakati unakuja mtalia tu!
watu wenyewe wanaonekana wamepigika kinoma na pia si wengi wa kutisha. Kagari kamoja na speaker mbovu mbili tu, tehe tehe tehe tehe.
M4C inatisha jamani, kama itaenda hivi mpaka 2015, CCM wajiandae kisaikolojia na kisystem.