Buzwagi presha yatanda!!

Buzwagi presha yatanda!!

Scob

Member
Joined
Dec 3, 2012
Posts
57
Reaction score
6
Ni siku moja kabla ya maandamano makubwa kufanyika kuelekea katika mgodi mkubwa wa dhahabu mkoani shinyanga wilayani kahama. maandamano hayo ya amani yatafanyika kwa ajili ya kupinga ubaguzi unaofanyika wilayani kahama juu ya swala la umeme na mengine mengi. jaman wazee kwa vijana tujitokezeni wote kwa pamoja kwani nguvu ya umma haishindwi kitu.
 
mkuu mbona jana afande magala kasema eti ameyafuta?. kwa upande wa chadema wanasemaje? simu ya katibu kahama haipatikani. mia
 
Nchi hiii ishauzwa!
 
mkuu mbona jana afande magala kasema eti ameyafuta?. kwa upande wa chadema wanasemaje? simu ya katibu kahama haipatikani. mia

Hata usijali kwani haki ya mtu haifutwi kwa maneno ya kilagai. kwani hamna sheria yoyote hile iliyovunjwa.so guys, together lets make it happen......
 
mkuu mbona jana afande magala kasema eti ameyafuta?. kwa upande wa chadema wanasemaje? simu ya katibu kahama haipatikani. mia

Watz hatujui haki na sheria zetu?
MAANDAMANO HAYAOMBWI BALI UANDALIWA UTARATIBU WA KUWAJULISHA POLISI tunaowalipa mishahala kwa kodi zetu ili wawalinde waandamanaji wasidhurike.HIYO NDIYO SHERIA.
Husiulize Cdm wanasemaje kwan si wao pekee wanaoona unyonyaji huu. Lakn pia ni vizur kuuliza kwan siku hizi kila penyekudai haki cdm inahusika. Good qtn.
 
Mnashindana na makaburu,mandela walimshinda,we hangaikia UGALI WAKO
 
Watz hatujui haki na sheria zetu?MAANDAMANO HAYAOMBWI BALI UANDALIWA UTARATIBU WA KUWAJULISHA POLISI tunaowalipa mishahala kwa kodi zetu ili wawalinde waandamanaji wasidhurike.HIYO NDIYO SHERIA.Husiulize Cdm wanasemaje kwan si wao pekee wanaoona unyonyaji huu. Lakn pia ni vizur kuuliza kwan siku hizi kila penyekudai haki cdm inahusika. Good qtn.
leo chadema wana mkutano pale fantoom kahama. ngoja nkawasikilize wanasemaje. mia
 
Mnashindana na makaburu,mandela walimshinda,we hangaikia UGALI WAKO

kuna msemo wazungu wanasema "i can rise my success through your failure or i can become much stronger through your weakness" hizi kauli zinaoyesha kama tukiendelea kuwa wanyonge basi walala heri wataendelea kutupapasa matakoni ss walala hoi. ebu acha zana za kikoloni wangu AMKA KAKA....
 
mkuu mbona jana afande magala kasema eti ameyafuta?. kwa upande wa chadema wanasemaje? simu ya katibu kahama haipatikani. mia

Maandamano ni haki ya kikatiba acha kuwatia watu woga, wewe unatarajia maandamano ya kuipinga serikali yaruhusiwe? yale yaliyomng'oa Gadaffi au Mubarak yaliruhusiwa na nani? Nguvu ya umma itumike no any other alternative!
 
kuna msemo wazungu wanasema "i can rise my success through your failure or i can become much stronger through your weakness" hizi kauli zinaoyesha kama tukiendelea kuwa wanyonge basi walala heri wataendelea kutupapasa matakoni ss walala hoi. ebu acha zana za kikoloni wangu AMKA KAKA....
Afadhali mkuu umemjibu kwa hekima ningemjibu mimi huenda ningekuwa tayari naninginia kwenye ban asante mkuu kwa kunikinga na ban,. maana mijitu mingine inakera sijui ndio mifisadi yenyewe???
 
kuna msemo wazungu wanasema "i can rise my success through your failure or i can become much stronger through your weakness" hizi kauli zinaoyesha kama tukiendelea kuwa wanyonge basi walala heri wataendelea kutupapasa matakoni ss walala hoi. ebu acha zana za kikoloni wangu AMKA KAKA....

Kwani wanadai waandamanaji?
 
Safi sana Ikibidi Fanyeni Mapinduzi kwenye Huo mgodi na umilikiwe na raia wa Huko, tusha choka, that is why tunataka kila Rasilimali ziwanufaishe kwanza wahusika wa hapo, Huko Buzwagi kuna Dhahabu lakini maisha ya wananchi wa Pale hayana tofauti na ya sehemu nyingine kama Singida na kazalika
 
Sasa Buzwagi ndio wasambazaji wa umeme? Idai serikali, ndiyo yenye wajibu wa kuwapatieni umeme, Buzwagi nao ni watumiaji kama ninyi tu.
 
Ni siku moja kabla ya maandamano makubwa kufanyika kuelekea katika mgodi mkubwa wa dhahabu mkoani shinyanga wilayani kahama. maandamano hayo ya amani yatafanyika kwa ajili ya kupinga ubaguzi unaofanyika wilayani kahama juu ya swala la umeme na mengine mengi. jaman wazee kwa vijana tujitokezeni wote kwa pamoja kwani nguvu ya umma haishindwi kitu.

Mbona kichwa chako cha habari kina conflict na content yako ndugu?
 
Back
Top Bottom