Tumaini Makene
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 2,650
- 6,088
Baada ya CHADEMA kuiteka Nyanda za Juu Kusini kwa maandamano na mkutano mkubwa katika Jiji la Mbeya, leo ni zamu ya Kanda ya Magharibi katika Mji wa Sumbawanga, Rukwa.
Sumbawanga utakuwa ni mkutano wa hadhara. Uzinduzi wa kanda hii ya Magharibi umepangiwa tarehe ya mbele.
Mwenyekiti ameanza kwa kufungua misingi kadhaa, kabla ya kuelkea Uwanjani, Rukwa High School...
Ufunguzi wa misingi na matawi
Ufunguzi wa misingi na matawi
Ufunguzi wa misingi na matawi
Ufunguzi wa misingi na matawi
Kamanda Mbowe akiongoza maandamano
Maandamano kuelekea kiwanja cha mkutano
Kamanda Benson Kigaila.
Kamanda John Mlema
M/kiti taifa CHADEMA akimwaga cheche.
====== Updates ===========
Sumbawanga utakuwa ni mkutano wa hadhara. Uzinduzi wa kanda hii ya Magharibi umepangiwa tarehe ya mbele.
Mwenyekiti ameanza kwa kufungua misingi kadhaa, kabla ya kuelkea Uwanjani, Rukwa High School...
Ufunguzi wa misingi na matawi
Ufunguzi wa misingi na matawi
Ufunguzi wa misingi na matawi
Ufunguzi wa misingi na matawi
Kamanda Mbowe akiongoza maandamano
Maandamano kuelekea kiwanja cha mkutano
Kamanda Benson Kigaila.
Kamanda John Mlema
M/kiti taifa CHADEMA akimwaga cheche.
====== Updates ===========
Ufunguzi wa misingi na matawi
Kazi inaendelea...ufunguzi wa matawi na misingi, huku maandamano yakielekea Viwanja vya Rukwa High School...
Ngoja nikimbizane na hii coverage...picha zingine nitawatupia baadae. Maandamano yameshawasili eneo la mkutano... Kamanda Benson Kigaila.
Amewaambia Watanzania wa Sumbawanga kuwa hatimaye safari yao ya ukombozi waliyoamua katika sanduku la kura mwaka 2010 itakamilika kwa wao kufika wakiwa na Nobet Yamsebo, mgombea aliyechakachuliwa na kesi bado iko mahakamani...
Kamanda John Mlema. Amewaambia Watanzania wa Sumbawanga kuwa watawala wamewageuza wananchi sawa na kuku wa kienyeji...
Kamanda tayari yuko jukwaani...anawaambia kila mtu aliyeko eneo la mkutano ajisikie amani...