LE GAGNANT
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 1,241
- 251
Enock Mbwigane leo asubuhi wakati wa kusoma magazeti, alikumbana na title kwenye gazeti la jambo leo "CHADEMA yabadili mbinu ya kuingia ikulu". Akataka kuisoma halafu akasita kaliweka gazeti kando na kuchukua gazeti jingine, nako kakuta kichwa cha juu kinamuhusu Mbowe kasema nunua mwenyewe uisome habari hiyo. Inawezekana ni sera yao kutosoma habari yoyote ya CHADEMA, inashangaza pesa za walipa kodi kutumiwa kwa matakwa ya kuwabeba wanasiasa fulani dhini ya wengine kwenye vyombo vya habari.