Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwandishi mkongwe wa habari nchini, Abdallah Idrissa Majura, leo amechukua fomu kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwania ubunge kwa tiketi ya chama hicho kwenye Jimbo la Dimani Zanzibar.
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakuu, Kwa mambo yanavyoenda, ni dhahiri kuwa kuna uwezekano mkubwa CCM ikashinda ubunge kwa 99% kama ambavyo ilitokea mwaka 2020 Maana yake kuna uwezekano wa kukosekana kwa upinzani bungeni...
0 Reactions
0 Replies
105 Views
Pole pole anauliza Samia anajiskia amani kugombea uraisi na luhaga mpina wa ACT WAZALENDO kwani wanaCCM hawajui Act?😂😆🤣 Nmeanza kuamini zito na Act WAZALENDO ni vishikwambi vya CCM aise...
16 Reactions
60 Replies
3K Views
Seleman Bungara (Bwege), aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, anahoji ukimya wa mwenyekiti mstaafu wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe kwa kusema ni lini alienda...
0 Reactions
1 Replies
540 Views
Mimi niko na wewe ( at least kwa hili, ingawa wakati wa Magufuli hukuonesha uzalendo huu), sasa tunatokaje kwenye mkwamo huu? My suggestions: 1. Weka page yako ya inbox ambapo unaweza kupata...
1 Reactions
7 Replies
576 Views
Enyi wafuasi wa Zitto Kabwe mtwambie atakumbukwa kwa lipi kwenye medani za siasa, Zitto Kabwe hajawai kusimama na wananchi wala kuwapambania kwa lolote wala kuwatetea pale kunapokuwa na...
2 Reactions
7 Replies
439 Views
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kongwa kimetangaza kuanza tena mchakato wa kuchukua na kurejesha fomu za kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Kongwa, kufuatia kifo cha aliyekuwa Spika wa Bunge...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Hahahaha......Ndugu zangu siasa zimegeuza ubao. Leo ccm wanakuja na tone tone? Wana wanachama takribani 13M kwa mujibu wa taarifa zao, kama ni za kweli au la sijui lakini Mwanachama mmoja mmoja...
14 Reactions
59 Replies
3K Views
Seleman Bungara (Bwege), aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, anasema "Dalili zote Mbowe hayupo CHADEMA" Soma > Bwege: Polepole Kathibitisha CCM ndiyo tatizo, inavunja Katiba ya Chama na...
5 Reactions
9 Replies
751 Views
== Baada ya kutazama kipande hiki kifupi cha Video hii wacha sasa nitete na wale tuliosoma Shule za Msingi na Sekondari za Serikali ya Tanzania. Naamini tutakubaliana kuwa "Tangu Tanzania...
36 Reactions
251 Replies
61K Views
Jee endapo Salum Mwalim akimshinda Rais Samia na akawa Rais baadae Salum Mwalim akaondoka JeeDevotha Minja mwenye cheti cha Form 4 atakuwa Rais?
11 Reactions
76 Replies
4K Views
Salaam! Haya ni maono. Nimmekuwa nikilisemea hili tangu May 2022, kwamba, Year 2026 ni mwaka mpya, mwaka wa kipekee ambao, mfumo mzima wa kutawala ,na mifumo yote muhimu juu ya nchi yetu...
5 Reactions
11 Replies
776 Views
Wakuu Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere, mwanachama wa CHAUMMA, anasema Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA, Freeman Mbowe, alienda mara tatu gerezani kumuona Mwenyekiti wa sasa, Tundu Lissu...
5 Reactions
47 Replies
3K Views
TORTOLA, Visiwa vya British Virgin. Kampuni ya Orca Energy Group Inc. imewasilisha ombi la usuluhishi katika Kituo cha Kimataifa cha Usuluhishi wa Migogoro ya Uwekezaji (ICSID), ambacho ni taasisi...
5 Reactions
60 Replies
3K Views
Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango amelitaka jeshi la polisi nchini kuimarisha hali ya ulinzi na usalama katika uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani...
0 Reactions
2 Replies
410 Views
Akizungumza leo Agosti 11, 2025, katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka wa maafisa waandamizi wa Jeshi la Polisi uliofanyika katika shule ya Polisi Moshi, Inspekta Jenerali wa Polisi, Camillus...
1 Reactions
6 Replies
565 Views
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango, leo Agosti 11 atafungua mkutano mkuu wa mwaka wa maofisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi katika Shule ya Polisi Tanzania – Moshi. Msemaji wa Jeshi la Polisi...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Wakuu Seleman Bungara (Bwege), aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, amefunguka kuhusu Luhaga Mpina, mgombea wa Urais kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, akisisitiza kuwa “Mpina hajatoka...
1 Reactions
6 Replies
637 Views
Baadhi ya wafuasi wa Chama cha Kijamii INEC wakimsindikiza mgombea wa nafasi ya Urais, David Mwaijojele na mgombea mwenza, Masoud Ali Abdalla katika uchaguzi mkuu ujao wa Oktoba 2025 katika ofisi...
0 Reactions
6 Replies
539 Views
Kimchezo mchezo utashangaa jamaa wa Ubwabwa na wale wa Dalali wamejaziwa kura milioni 3 kila mmoja. Hii michezo aise raha sana.
5 Reactions
11 Replies
717 Views
Back
Top Bottom