Kaulimbiu ya "No reforms, no election" (Hakuna marekebisho, hakuna uchaguzi) ni ujumbe wa kisiasa unaotumiwa na vyama vya siasa au makundi ya kijamii kudai mabadiliko ya kimsingi katika mfumo wa...
Huyu Mzee ameiba matrilioni ya nchi yetu. Watoto hawana madawati Wala madarasa, hospitali hazina madawa, mishahara haipandi nk then anahukumiwa alipe bilion zaidi ya ishirini anatangulia milioni...
Ndugu zangu Watanzania,
Nawapendeni Sana Watanzania wenzangu.
Habari ni Kuwa Kura za Maoni zitafanyika upya katika Jimbo la Kongwa Kufuatia kifo cha Hayati Jobu Ndugai aliyekuwa miongoni Mwa...
Hii ni laana tena Kali na aliyetulaani ametuumiza kweli kweli.
Yaani Mwenyekit wetu Tundu Lissu yupo ndani anaumizwa makusudi lakini ndio Kwanza hata hatujui tufanye nini, ulaya wamejaribu...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Mwenza wa Urais wa chama hicho, Emmanuel Nchimbi, hapa wakati anaongea na Wanahabari mchana wa Agosti 11, 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu...
Ngoja nianze na moja ya habari kutoka Wilaya Mpwapwa.
Week mbili nyuma kama sio tatu ndugu Makalla alikuwa Wilaya ya Mpwapwa,watu walikuja kutoka pande zote za vijiji kwa kubebwa na Malori...
Mzee Joseph Butiku jana kaeleza uzuri jambo lilotokea tarehe 19 Januari 2025 kwamba Rais Samia alisita kukubali hoja ya kwamba jina lake lipitishwe kinyemela.
Nimekwishaliongelea hili la...
Akiongea na Watanzania walioko Diaspora kupitia mtandao wa Sauti ya Watanzania au Clubhouse,Dk Malisa alisema kuwa kama mambo anayodai mahakamani hayatakubaliwa,Viongozi wa Dini zote watawaongoza...
Mh Babu, kama utanibishia tafadhali familia vifo vya siku hiyo vipo 10 watoto walikufa WA uzembe wa watumishi.
Kama unabisha njoo mm Niko hapa uone ni aibu mawenzi watu wanakula mnoooó
BARUA YA WAZI KWA VIONGOZI WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
Yah: Tathmini ya Kampeni ya “No Reform No Election” na Mapendekezo ya Hatua za Haraka
Viongozi wangu wapendwa,
Kwa...
Nilikuwa mahali fulani nikiangalia namna mambo yanavyokwenda. Sikuamini macho yangu kushuhudia ama pikipiki au Baiskeli zenye chata ya CCM zikikatiza kika baada ya dakika 5. Nikawaza Wanufaika wa...
Watu wanaojitoa sadaka kwa ajili ya wengine hutembea sawa sawa na Exodus 14:14
Mpina usitafute Kiki za Uchaguzi kwa kumhusisha Shujaa Magufuli, JPM anapiganiwa na Mungu wa mbinguni yeye akiwa...
Hii kauli iliyobeba kichwa cha Habari hii ilikuwa ikitolewa mara kwa mara na mwalimu Nyerere kila alipotembelea UVCCM
Najaribu kufanya Utafiti juu ya nguvu iliyopo ndani ya Tundu Lisu...
Swali hili kauliza Hancy Machemba huko tweeter.
Nimepitia responses karibu zote. Wanasema ni maagizo!
Mmoja kasema jibu liko wenye series ya Kikorea iitwayo Bad Prosecutor jibu liko humo...
Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema wao kama chama hawajaridhishwa na maamuzi ya Mahakama Kuu kuhusu mashahidi wa siri dhidi ya kesi ya Tundu Lissu.
Kuhusu maamuzi, soma Mahakama...
Niliwahi Wauliza , Haya Matendo yenu ambayo ndio njia mloichagua , Hayatawahukumu huko mbele Kwa namna ambavyo mmezalisha MAISHA YA KISASI Kwa Manufaa yenu tu ?.
Uongozi na Mali, huja na...
Kwema Wakuu!
Unaweza kuishi na mtu Miaka nenda Rudi lakini usiujue uwezo wake.
Kimichezo, huwezi kujua uwezo wa mshambuliaji wa timu yenu zaidi ya Beki anayemkaba Mshambuliaji wenu.
Yaani Mabeki...
Alphonce Temba, aliyekuwa mtia nia ya Ubunge Jimbo la Kibamba kupitia CCM, amefichua kuwa aliwahi kushika nafasi ya mshauri wa juu wa viongozi wawili wa Afrika: Rais wa zamani wa Zambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.