Mabango ya Samia kwenye mpira ni ya nini sasa kama sio ushamba?

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,385
Reaction score
100,492
Huu ni mpira na sio siasa wala mkutano wa siasa. Kuonyesha mabango yenye picha ya Samia ni kuwa na IQ ndogo sana.

At least tungetumia mpira au mashindano haya kutuunganisha na sio kugeuza mpira kuwa siasa. I hate it. Na mkiendelea hivi ujue hata hatua ya makundi hamkatizi.

Kenya hakuna bango la Kasongo watu wako busy na mpira.
 
Kenya ni kesho 😄
 
Nasema hivi, huwa siangalii hilo soka la team ya ccm. Ulaya sio lazima nihamie, naangalia kwa pesa yangu mipira ya ukweli.
Hongera. Haya endelea kuangalia hapo kwa shemeji yako mume wa dada yako.
 
Back
Top Bottom