walimu hamkufanya kazi yenu sawasawa mimi serikali sikuongezi chochote,..tena nafikiria kukupunguzia mshahara kwa sababu wanafunzi wamefeli sana,.. mkigoma mahakama yangu itakuzuia.,.,. naujua sawasawa woga wako kutokana na elimu yako ndogo hupati kitu na hugomi,.,.Jaribu uone....Madaktari walishindwa sembuse wewe..Mimi serikali