TAMKO
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 1,090
- 763
Sisi wananchi Juhudi Zenu Tunaziona, tunaziheshimu Na tunazithamini..
Tokea Mh Pinda aliahirishe Bunge la kumi ijumaa ya tarehe 8 febr 2013 Kwa miezi miwili hadi Jumanne ya April 9, 2013 Wabunge wengi Wa CDM wamekuwa bize Majimboni. Kama SIO kufungua matawi Basi ni M4C au Majimbo Move. Na Kama SIO hivyo wako bize wakisikiliza kero Za wananchi Kwenye ofisi zao Ndani ya manispaa zao, Timu yetu ya ufuatiliaji imegundua hivyo.. Hali ni Tofauti sana Kwa Wabunge Wa CCM, Wengi wako NJE ya Nchi wanakula bata Kwa sasa au wako bize Na business zao, Na wakiwepo majimboni Basi wana Kumi zao ni wachache sana wamekutwa maofisini.. Hii inashangaza sana Kama huamini Embu mpigie cm mbunge wako umsikie yuko anga Zipi kwa sasa, kama cm haipatikan ujue yuko kivileee..