Mh. Simbachawene hata mgawo wa umeme ulikuwa unatengenezwa

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Mh Simbachawene ameenda mbali na kusema mgawo wa umeme ulikuwa unategenezwa;

pia na waziri kaenda mbali baada ya kutoa taarifa kuchukua mafuta BP lakini mpaka anafika Dar ofc za ubungo hakuna gari ilikuwa imefuata mafuta.

HUJUMA ; NCHI ISITAWALIKE.

MWISHO NI KUUMBUKA:israel:
 
Hii issue n sensitive sana. Ilitakiwa hao wote walihusika wapigwe mawe au wateswe zaidi ya Ulimboka mpaka wafe. Ni uhujumu uchumi wa Hali ya juu.
 
mgawo unayengenezwa halafu umeme wa dharura unatafutwa, watu wapiga kitu the Lowassa way.
 
Hao wategeneza mgao wanataakiwa wanyongwe hadharani. Wametutesa sana kwa ajili ya ubinafsi wao.
 
Unatafuta kuondolewa wewe simbachawene!Ulaji wa vigogo huo,unaweza kuyumbisha nchi!Chezea mafisadi tu wakulishe sumu!
 
Bongo bana, kila kitu iwe huduma ama mradi lazima wizi uwe ndani yake
Imefikia hata maisha ya wenzetu waathirika yanaonekana si muhimu
Mtu anaamua kutengeneza ARV fake
 
Hongereni,lakini Kazeni buti mh.Simbachane wizarani; bila kusahau barabara ya lami kutoka Mbande via Mpwapwa hadi machimboni Winza.
 
Wakuu,mnakumbuka kauli ya mawaziri kuwa"suala la mgawo wa umeme ilikuwa ni dili ya wajanja wachache na halitakuwepo tena!"
 
Hata hii kauli atasema wamemsingizia hawezi kubali kama alisema yeye!
 
Safi sana,..kiongozi analalamika wakati ana uwezo wa kuchukua hatua za kinidhamu kwa wahusika wote,..haya maneno tumeshayazoea wakati mtu anataka kujijengea ki-jina chake, anajidai yupo saaaana na wananchi,.
 
Back
Top Bottom