Kijana Anwary Kashaga akiwa na Tabasamu alijiunga CDM 2010 akitokea CCM
Leo kumefanyika Mkutano mkubwa Mjini Igunga uliohutubiwa na viongozi wakuu wa CHADEMA Wilaya pamoja na Viongozi...
Magamba mmetunyonya vya kutosha katika kila sekta kiakili tumeshakomaa. sasa endeleeni na propaganda nyanya tuone mwisho wenu mnajivunia hazina kubwa ya wajinga mnao wadanganya ila siku watakapo...
Baada ya wapinga maendeleo kuona kuwa wale tunaopenda maendeleo ya wananchi wa Tanzania tupo wengi humu jamvini, sasa wanatuita Pro CHADEMA. Nimeipenda hiyo. Mimi ni Pro CHADEMA kwa vile naipenda...
Mwaka 2008, juni niliwahi kuambiwa mtumishi wa Wizara ya Fedha kuwa Mwl Salma japokuwa si mtumishi wa Serikali lakini bado alikuwa anapokea mshahara toka Serikalini. Yaani mshahara ulikuwa...
Ndugu wana JF naomba mchambue kwa makini mtiririko wa takwimu za harakati za chama cha CHADEMA kuelekea ikulu 2015, mwenye maoni au logical statistical predictions anaweza kutuambia CHADEMA 2015...
Wana JF,
Wilfred Lwakatare ameitwa Makao Makuu ya Polisi sasa hivi kwa mahojiano na jeshi hilo kufuatia video clip iliyowekwa mitandaoni jana.
Kwa taarifa ni kuwa atawakilishwa na wakili...
Kada wa CCM Bulembo amesema maandamano ya CHADEMA yaanzie Kilimanjaro kwanza!
Amesema kila maandamano hayafanyiki Kilimanjaro bali sehemu zingine, na waziri na naibu wa Elimu hawajiuzulu kamwe
Habari yako Muungwana unayesoma hii thread,
Kwa kweli nimefikiria na hata kuchunguza kwa utafakari wa hali ya juu jinsi neno Amani litumikavyo dhidi ya wananchi pale serikali itakapo kuwadhulumu...
Mbunge wa kuteuliwa, mh.James Mbatia, amegomea uteuzi uliofanywa na waziri mkuu, Mizengo Pinda na kutaja sababu tatu za kukata kushiriki katika tume iliyoundwa kuchunguza matoke mabaya ya kidato...
Mkoa maalum wa vyuo vikuu, kanda ya Dar es salaam, umefanya kikao cha kujadili mipango na mikakati mbalimbali ya kuimarisha Mkoa huo na Chama kwa ujumla.
Pamoja na Ajenda hiyo, pia kikao...
Wakuu,
Nadhani mnafahamu kuwa serikali ilipiga marufuku mikutano yote inayohusu gesi mkoani Mtwara,
Kinachoshangaza ni baadhi ya hawa viongozi tena wa ngazi za juu serikalini kufanya mikutano...
Habari wanajukwaa;
Kama alivyoahidi BUKOBA BOY kwenye maelezo yake yaliyoambatana na video ya LWAKATARE kwamba atakuwa anatupa ushahidi mmoja baada ya mwingine, Amesharusha karatasi aliyokuwa...
Mkuu wa Usalama na Ulinzi wa Chadema, Wilfred Lwakatare
Na Beatrice Moses, Mwananchi
Hali ya afya ya Mkuu wa Usalama na Ulinzi wa Chadema, Wilfred Lwakatare...
MAKALA MAALUMU:
Uchunguzi wakina wa MTANZANIA Jumapili umeonyesha kuwapo kwa kundi la watu wasiofahamika ambalo limekuwa likifuatilia nyendo za Watanzania wanne kwa ukaribu na hata kuiba baadhi...
Leo katika jiji la arusha na viunga vyake kumekuwa na mgomo mkubwa wa daladala.Sababu ya mgomo huu kulingana na madereva ni kuwa Trafiki polisi wanawasumbua sana.Kusumbuliwa kwao kunatokana na...
Mhe Zitto Kabwe ameibuka kidedea kwenye uchaguzi wa kumtafuta mwenyekiti wa kamati ya hesabu za Serikali (PAC) baada ya kumbwaga Mhe. Cheyo kwa kupata kura 13 kati ya 17.
Zitto awali alikuwa ni...
Imekuwa ni kawaida ktk chaguzi za miaka ya hivi karibuni wapinzani wa CHADEMA kuwabeza kwa aina ya wagombea wenza wa urais wanaowapitisha.Na Tuhuma kuu imekuwa suala la Elimu kuwa ni ndogo,Ukweli...
Habari wana JF
Naangalia hali ya kisiasa nchini na hoja nyingi humu JF kuhusu hali ya kisiasa ilivyo na nimejikuta nikijiuliza status ya ombi/hoja ya muheshimiwa rais kwa wanachama wake kuacha...
MASTER OF ACROBATIC POLITICS
The failure of the Kikwete regime to manage the economy with experts warning the country was even more off-track to achieving the income-poverty-reduction envisaged in...
Huu ni usanii ulio pitiliza,mbona kadi zenyewe ni mpya sana? Ukizikunja zinajikunjua zenyewe? Mnatia aibu na kichefuchefu,naona sasa hata uwezo wenu wa kudanganya umepungua.
Itv
Habari...