Ni lini Mwl Salma Kikwete alitolewa katika Payroll ya Serikali (HAZINA)? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni lini Mwl Salma Kikwete alitolewa katika Payroll ya Serikali (HAZINA)?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mnyamahodzo, Oct 27, 2012.

 1. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mwaka 2008, juni niliwahi kuambiwa mtumishi wa Wizara ya Fedha kuwa Mwl Salma japokuwa si mtumishi wa Serikali lakini bado alikuwa anapokea mshahara toka Serikalini. Yaani mshahara ulikuwa unaingia katika account yake.

  Miezi kadhaa baada ya walimu kuingia mgogoro na Serikali kupitia CWT, ulianza mkakati/zoezi la kuhakiki walimu hewa. Minong'ono iliendelea kuhusu Mwl Salma

  Swali la msingi ni lini Mwl Salma aliondolewa/aliacha kulipwa na Serikali kama mwalimu (mtumishi wa serikali)?. Ikumbukwe alianza kuingia kwenye kampeni za Uchaguzi mkuu toka Septemba 2005.

  MUHMU:Kama hujui lolote pita kimyakimya, wako wenye majibu ama dokezo/dondoo zitakazotupeleka kwenye majibu.
   
 2. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Alikwisha wahi kuandika barua kwa mwajiri wake kuacha kazi?
  Alikwisha wahi kuandika barua ya kuomba likizo bila malipo?
   
 3. r

  raymg JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 845
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Napita tu kimyakimya!!!!.....but bado hajctaafu ila cna uhakika kama aliandika barua ya kuacha kazi
   
 4. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  ni kosa la mwajiri wake.mwajiri wake ambaye ni halmashauri alipaswa kkumuandikia barua ya kutoonekana kazini na baadaye kusitisha mshahara wake.hata kama ni mimi nikiona mwajiri ananipa mshahara bila kufanya kazi nitakaa kimya.
   
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  Kimya kimya najipitia zangu ila nimeumia sana maana walikata salary yangu mwezi mmoja tu baada ya kuwaza kuucha ualimu
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Chagueni m4c huu upuuzi wote hautauona
   
 7. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Bado c anamfundisha president anastahili malipo na posho
   
 8. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  wafu bado wanalipwa mishahara mpaka leo hii ndio itakua huyo salma ambae yuko soo alive
   
 9. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,243
  Likes Received: 2,925
  Trophy Points: 280
  Napita lakini niko hapa pembeni nachungulia majibu.....
   
 10. +255

  +255 JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,908
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 180
  Nadhani utakuwa umepitiwa kidogo, JF sio Wizara ya Elimu wala Utumishi wala Hazina kiasi kwamba wakupe majibu unayoyataka wewe..Kwa majibu ya uhakika piga namba 022-2118531-4
   
 11. Domy

  Domy JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 4,702
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Nafikiri mkurugenzi wa halmashauri ana majibu murua kuhusu huyu mwalimu wake.
   
 12. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mbona hata viongozi wa cwt wanalipwa kwenye payroll hiyohiyo kwani wanafundisha?
   
 13. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Swali halijakaa vizuri kwa sababu linaashiria kuwa unalo jibu lako!!! kimsingi ungeuliza ni kigezo gani kimetumika kumsimamisha kazi huyu mama? na kwa kigezo hicho mama ana stahili gani kisheria?
   
 14. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kwa taarifa yako JF ni zaidi ya wizara ya elimu au utumishi kama hujui kitu funga bakuli lako usijidai kuweka vinamba utadhani mleta mada kakuomba namba..
   
 15. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,351
  Likes Received: 612
  Trophy Points: 280
  Ahsante mkuu Crashwise kwa kumpa za uso. Chezeiya JF weye.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #16
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,948
  Likes Received: 37,474
  Trophy Points: 280
  Hii thread itadumu kweli humu jamvini?

  Usalama nadhani watachimba biti muda si mrefu hasa kama ni habari ya kweli.
   
 17. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,739
  Likes Received: 537
  Trophy Points: 280
  Sabatical leave lol!
   
 18. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #18
  Oct 28, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Safi Crashwise.
  Nimeona umempa kibao, akileta za kuleta, itabidi apewe mateke na magumi.

  Kuna wajinga fulani huwa hawataki tuhoji. Kuhoji hakutengezwi na maelezo tu, lazima liwepo swali. Uzito wa wao kulipatia majibu swali ndiyo unawafanya waweweseke.

  Tunaendelea kuhoji.
   
 19. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #19
  Oct 28, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Atalipwa hadi akimaliza urais wa wanawake Tanzania..na hakuna wa kumfunga paka kengele!chezea visasi wewe?zamu ni yao sasa kama hutaki shauri yako ila ndio hivyo!
   
 20. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #20
  Oct 28, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  wafu WANALIPWA yeye analipwa, lakini wengine wanaoenda KUJIENDELEZA huku wakiwa wamekidhi vigezo wanakatiwa mshahara tena as fast as possible hii ni haki!

   
Loading...