Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kibaja, Mar 13, 2013.

 1. k

  kibaja Senior Member

  #1
  Mar 13, 2013
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wana JF,

  Wilfred Lwakatare ameitwa Makao Makuu ya Polisi sasa hivi kwa mahojiano na jeshi hilo kufuatia video clip iliyowekwa mitandaoni jana.

  Kwa taarifa ni kuwa atawakilishwa na wakili Nyaronyo Kicheere na baadaye kama watafungua kesi watakuwa na Mabere Marando.

  Je, hii sio double standard ndani ya taifa?

  Mbona Mwigulu hajakamatwa baada ya kusema ana mkanda wa njama za kufanya mauaji?
   
 2. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2013
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Punguza jazba kidogo ili uweze kueleweke vizuri.
   
 3. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2013
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 26,955
  Likes Received: 44,884
  Trophy Points: 280
  Hii ni njama ya CCM kutaka kuitokomeza CHADEMA!

  Huu udhalimu mpaka lini?

  Haya matukio yamepangwa kwa lengo wanalolijua wenyewe

  Hata Lwakatare sio mtu wa kumuamini!

  Watanzania tusiwe wajinga!

  Huyu ni mkoloni mweusi!
   
 4. W

  Warioba E. W Senior Member

  #4
  Mar 13, 2013
  Joined: Jan 15, 2013
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukiunganisha dots hapa, unaona kabisa POLISI wamepanga hii sinema. Kuanzia kwenye clips hadi kumkamata Lwakatare.
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Mar 13, 2013
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,049
  Likes Received: 1,881
  Trophy Points: 280
  Mkuu kwa hiyo wewe ulikuwa unategemea kwamba Lwakatare asikamatwe kwa hiyo clip inayotisha namna hiyo? Wacha wamhoji ukweli ujulikane tu
   
 6. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2013
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hivi hii video clip ni tofauti na ya Mwigulu Nchemba? Kwa nini polisi wasimkamate na mwigulu ili awape video clip aliosema?

  Hivi ni jeshi gani hili tulilonalo ambalo linashindwa kumkamata mtu na kumhoji kwa kutoa tuhuma kuwa ana video za kupanga mauaji?

  Hili ni game, tusubiri mwamuzi dakika 90.
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2013
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 38,935
  Likes Received: 30,493
  Trophy Points: 280
  Serikali dhalimu ya CCM iko kazini. Akamatwe Mwigulu Nchemba na Rama wa usalama wa taifa.
   
 8. Kimagege

  Kimagege JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2013
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 284
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hii video nimeiangalia dakika 3 tuu ila napata shida sana kuamini kama si yeye.
   
 9. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #9
  Mar 13, 2013
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,515
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Safi sana, maana haina maana ya kufumbia macho kitu kama hiki!
   
 10. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #10
  Mar 13, 2013
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,325
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Double standard at it's best level!
   
 11. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #11
  Mar 13, 2013
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Kuna mtu anaweza kutuwekea hiyo clip tuione?
   
 12. NIGGA

  NIGGA JF-Expert Member

  #12
  Mar 13, 2013
  Joined: Jan 23, 2013
  Messages: 1,253
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Tuwekeeni iyo video Clip na wengine tuione wakuu
  duh sijui niko dunia ya ngapi?
   
 13. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #13
  Mar 13, 2013
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,218
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  Narudia tenasiku hizi polisi hakuna professionalism, siku hizi polisi wanafanyafanya kazi kwa kuunda tume badala ya kupeleleza na sasa kutumia mitandao ya kijamii kutafuta wahalifu.

  Na kwa kuwa hawana professionalism wataenda kichwakichwa na mwisho watatoka kapa.

  Anyway ndio Jeshi letu la Siasa.
   
 14. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #14
  Mar 13, 2013
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Huko mahakamani kama watamfikisha ndipo watakapoumbuka. Hii sinema wanayotaka kuicheza wasifikiri kwamba watu wamelala.
  Walijitutumua kutengeneza filamu ya kichina kwa Jerry Muro wakaishia kuumbuka, sasa naona wanataka tena kuumbuka.
   
 15. g

  gakato JF-Expert Member

  #15
  Mar 13, 2013
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 832
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Duuuuh, yangu macho kwanza!
   
 16. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #16
  Mar 13, 2013
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,939
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Pamoja na yote CHADEMA ITASHINDA MAJIMBO 7 MKOA WA KAGERA
   
 17. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #17
  Mar 13, 2013
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,772
  Likes Received: 4,334
  Trophy Points: 280
 18. g

  gogo la shamba JF-Expert Member

  #18
  Mar 13, 2013
  Joined: Mar 1, 2013
  Messages: 6,390
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Viongozi wa chadema watapata matatizo mengi tu,mwisho wa mateso kwa wale watakaokuwa hai ni 2015, alafu wale waliokuwa wanawateza wenzao nao wataanza kuteswa
   
 19. Ng'wamapalala

  Ng'wamapalala JF Gold Member

  #19
  Mar 13, 2013
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 6,332
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 145
  Siyo kitu cha ajabu wala cha kushangaza ndiyo maana hata yeye ameisha tafuta mawakili mapema wa kusimamia mahojiano polisi na wale wa kumtetea mahakamani.

  Tuache sheria ya nchi ichukue mkondo wake.

  Kuna watu ambao walikuwa wanahoji kama video ni ya kweli kwa nini Lwakatare alikuwa bado hajawa interrogated na polisi, haitashangaza tena hao hao watakuja JF kuhoji tena na kusema kwa nini ameitwa kwenda kuhojiwa na polisi.

  Watanzania tu hodari wa flip-flop ratiocinate.
   
 20. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #20
  Mar 13, 2013
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sijawai kuona jeshi dhalimu kama hili la Tanzania wanafanya mambo ki favour favour kwa kusukumwa na wakubwa.
   
Loading...