frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,098
- 1,341
(Pls mod husiunge na post yeyote)
Hîi ya video fake ni karata ya mwisho ya CCM kwasasa macho na masikio yao yote ni kwenye video hii ambao mtunzi ni Mwigulu Nchemba a.k.a Mj Press co ltd.
Hakishirikiana na vijana wawili kuingiza sauti ya lwakatale ni Oscar Nyerere, na Dr Msafi Mkuu ( vijana hawa sasa ni makatibu wa UVCCM wamepewa) na siku Mwigulu aliutubia Manzese alikuwa nao mpaka wakaongea masauti ya watu, ni vijana wangu sanaaa na ndio wamenipa hii kitu full .... na director mkuu Ludovic, kitu kimepigwa Mwenge karibu na yenu bar.... wenyekuweza ani PM namba ya Pro safari, Lissu nimpe kidogo plus mob no za madogo nitawapa.
Nimechoka na upumbavu huuuuuuuuuu....wa CCM, kwan nimetoka kutubu dhambi zangu leo nitasema ukweli mpaka ukombozi upatikane.
Peoplesssssssssssssssssss!!!!!!
shibuda@matatizo.2010-15.cdm.