Wakati sisi leo mwaka 2026 tunasherehekea kwa shughuli kubwa uzinduzi wa bwawa la Nyerere, Wakoloni wazungu wa Uingereza walishajenga bwawa kama hilo miaka 60 iliyopita kwa jirani zetu Zambia (...
Hapo VIP!
Nashauri serikali iandae taratibu za kupima IQ za wananchi wake ili wenye IQ kubwa wapewe leseni ya kufanya siasa.
Kisayansi MTU mwenye IQ ndogo hanauwezo wa kutatua matatizo Yake...
Hii ofisi katika period ya Samia imetumika kihuni sana..saiv hata wakiona unaisema sana serikali wanakusingizia kosa wanalojua halidhaminiki ili ukae ndani uumie then utoke uwanyenyekee.
Siku...
Wanabodi,
Huu ni muswada wa makala ya gazeti.
Nimepata fursa kuendeleza zile makala zangu za "Kwa Maslahi Ya Taifa", ambazo ni makala elimishi katika nyanja za kisiasa, kiuchumi na kijamii kwa...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CDE Bakari Kazungu, ametangaza rasmi kujiuzulu na kujiepusha na siasa za kukitetea chama hicho katika mitandao ya kijamii.
Kazungu, ambaye amekuwa mwanachama wa...
Kesi ya Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedeki Kitunzi Kaijage, imeahirishwa hadi Agosti 27, 2026, huku upande wa utetezi ukieleza kuwa hatua inayofuata ni kuendelea na mchakato wa...
Twende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi maana muda mchache mambo ni mengi
Ndugu wanachama wa CDM msije kabisa kujaribu kuingia kwenye huu mtego ambao mmewekea siku ya uzinduzi wa bwawa la...
Hilo ndio tafsiri ya Mawakili wa serikali. Na kwasababu pia ni serikali ndio imeajili Majaji na kuwalipa mshahara hawataweza kumwita.
Tunajiuliza mkapa alipanda Mahakamani kutoa ushaidi wake...
Sudan Kusini Yamkaribisha Mwakilishi Mkuu wa AU Jakaya Kikwete kusaidia kuweka mambo sawa Kabla ya Uchaguzi wa Kihistoria wa 2026
June 2026
Juba South Sudan
Rais wa zamani wa Tanzania na mjumbe...
Nyaraka rasmi kutoka Wizara ya Fedha ya Iraqi zinaonyesha kuwa Iraq iliidhinisha mikopo ya jumla ya dola milioni 191 kwa Tanzania. Takwimu hii ilithibitishwa Aprili 2026 na Mfuko wa Maendeleo ya...
Mkiti msaafu wa Chadema Freem mbowe wamekutana na mkuu wa wilaya ya Hai Mstaafu Lengai Ole Sabaya katika msiba wa Mama yake mbunge wa Hai Saasisha Mafuwe.
Katika Msiba Huo,mbowe amesema yeye...
Watanzania wanolipa income tax ni kama million 2 hivi kati ya watu million karibia 70
Kuna post mtu alisema watanzania wanaolipa kodi ni million 2 cha ajabu watu wakamshambulia sana kwamba...
Wakuu !
Ukisoma hili hitimisho la Mh. Tundu Lissu unapata hisia na uchungu mwingi sana hasa ukizingatia namna vile Jamhuri ilivyokuwa inamfanyia.
Siku 136 bila rufaa kusikilizwa na wakawa...
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Dkt. Evaline Munisi, amesema kukamilika kwa Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Julius Nyerere (JNHPP) ni fursa kubwa ya kiuchumi...
Hii ingeonyesha heshima kwa sheria zetu na utawa bora unaogeshimu sheria
Katuga hakufikiri vizuri kuweka pingamizi la mashahidi wa Lissu upande wa serikali kwani hofu yake ni nini.
Kwani...
Ayoub rioba afrika imeshakua na madikteta wengi sana ila cha ajabu wameshindwa kuondoa umaskini na kutengeneza taasisi imara kwenye nchi zao
Sasa unavyosema chanzo cha matatizo ya afrika ni...
Hoja ya Steven Wasira kuwa kesi za jinai hazipaswi kuisha kwa busara na maridhiano ni ya kuungwa mkono na kila anayeamini katika utawala wa sheria. Kama DPP amefungua kesi kwa maslahi ya umma ili...
Niweke wazi kuna kitu sikielewi, kwanza sikuwa nakubaliana na style ya uongozi wa Magufuli lakini ukweli utabaki hakuna mwenye uwezo wa kuzizima athari chanya za Magufuli.
Nimesoma mitandaoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.