Wote wenyeviti wa wastaafu vyama vyenye nguvu kwa kila upande. Zanzibar vs Tanzania Bara.
Juma Duni bado tunamuona yupo kimkakati na ACT WAZALENDO, anaongea kauli za ACT za mwenyekiti wake, yupo...
Leo, 22 Agosti 2026, Rais Samia anatarajiwa kuzindua rasmi mradi huu wenye uwezo wa kuzalisha MW 2,115. Mitambo yote tisa, kila mmoja ukiwa na uwezo wa MW 235, ilikuwa tayari imekamilishwa na...
Ni wazi kwamba Wazanzibari wanalinda sana maslahi yao kwenye Muungano.Muundo wa Muungano unawapa nafasi hii kwa sababu Muungano unaitambua Zanzibar lakini umeua uwepo wa Tanganyika.
Kumekuwa na...
Hizi Records za mauaji ya Oct 29 ni muhimu kuwekwa sawia.
Nyakati hubadilika.
Kama mnakumbuka kuhusu Nuremberg Trials huko Germany kwa wale Nazi officiers na timu ya Hilter waliohusika na...
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Boniface Jacob (Boniyai), amemtolea uvivu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, akisema kuwa madai yake kwamba nchi...
Wanaukumbi.
Wakili wa Mahakama Kuu Tanzania, Henry Mwinuka, amesema katika kesi ya Tundu Lissu kuna shahidi mmoja ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na masuala yanayomhusu Rais...
Wote tunajua namna FAM alivyokipigania CHADEMA Mpaka kikawa chama Tishio kwa kila Taasisi ya kiserikali,lakini katika kukijenga chama,chama kilizungumza,haki,usawa,utawala bora na demokrasia...
07 Agosti 2026
Uhamishoni
Nje ya Tanzania
Bw. David Jumbe msaidizi wa karibu wa mheshimiwa Tundu Lissu katika mahojiano exclusive 07 Agosti 2026 UHAMISHONI NJE YA TANZANIA...
Pastor Elij Daniel amekamatwa tangu jana baada ya kutofahamika alipo na kutorudi nyumbani.
Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana, baada ya kufuatilia mahali alipo, imebainika kuwa Pastor Elij...
Nimefuatilia sana mijadala mingi inaoendelea kuhusiana na tamko la Serikali juu ya mabus ya Usafiri Mikoani na matumizi ya Stendi ya Magufuli.
Ni hivi, miji yote mikubwa duniani ina Kituo kikuu...
Baadhi ya watu wa chama cha kijani wanatumia nguvu kubwa na muda wao mwingi kufanya kila waliwezalo kuhakikisha Mbowe harudi madarakani iwapo ataamua kugombea tena uenyekiti wa CHADEMA Taifa...
JE WAJUA?
KAMA KESHO MAHAKAMA ITASEMA MHE TUNDU LISSU ANAKESI YA KUJIBU, RAISI ATAPASWA KUFIKA MAHAKAMANI KAMA SHAHIDI WA LISSU?
Kama mahakama itaona kesi iendelee basi Tundu Lissu anaweza...
Unaposema utakwenda kuzuia uchaguzi Mkuu wa kikatiba unaoipatia Jamhuri yetu viongozi wake wakuu kama Rais, Mkuu wa nchi na Amirijeshi Mkuu, Makamu wa Rais, wabunge na madiwani usifanyike maana...
Hii ni hati ya mashtaka (Charge Sheet) dhidi ya Peter Michael Madeleka, wakili. Kwa ufupi, inasema:
Anachotuhumiwa nacho
Madeleka amefunguliwa makosa 5 ya “Contempt of Court” (kudharau/kukiuka...
Hahusiki na chochote ndani ya chadema lakini viongozi na wana chama wa chadema wanaweweseka na ukimya wake, lakini zaidi sana kuonekana kwake kwenye hafla za nchi kitaifa kumewatia kiwewe zaidi...
Umoja wa Kimataifa wa Vyama vya Kidemokrasia (International Democracy Union—IDU) umeeleza wasiwasi mkubwa kufuatia uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania wa kumtaka Mwenyekiti wa CHADEMA na Makamu...
Ukiwa mwanasiasa afrika unapata link ya mafanikio kiwepesi kwa kupitia njia ya unafki na tena utapata fimbo yakuwachungia wasomi,wachumi na hata wafanya biashara
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara, John Heche, leo Agosti 21, 2026, amezungumza na waandishi wa habari na kutoa msimamo mkali wa chama hicho kufuatia...
My Take
Msigwa alisema subirini mambo makubwa yanakuja.🔥🔥
Wale vibaraka wa Kenya waje tena kupayuka 👇👇
https://www.instagram.com/p/Dbsp926iFDm/?igsh=dHEweHczems2djhv
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.