I am not a political analyst lkn kuna kaswali najiuliza hivi kuna uhusiano gani kati ya viongoozi wa waasi wa DR Congo na nchi ya Rwanda?
Najaribu ku-link ilivyotokea miaka michache iliyopita juu ya madai ya kukamatwa kwa Gen Nkunda huko Rwanda na hivi majuzi eti Gen Ntagandabitware naye kajisamilsha ubalozi wa Amerika ulioko Rwanda, je matukio haya yanatokea coincidentally au ni mkakati ulopangwa?
Kwa nn mfano asijisalimishe Tz, Burundi au nchi nyingine yoyote iliyoko eneo la Maziwa makuu au EA?