Kuna hela ya MEREMETA inataka kupelekwa nje ya nchi kinyemela! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna hela ya MEREMETA inataka kupelekwa nje ya nchi kinyemela!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kisururu, Aug 7, 2011.

 1. kisururu

  kisururu JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wana jamii forums,kuna dola zaidi ya milioni 30 inazungushwa huku na kule,kwa sasa iko NMB na wakubwa wa bank hii wanatia mgoma wa kuipeleka kwenye account ya nje ya nchi.last week waliitwa mahaka kuu saa kumi na moja na kuamriwa wazipeleke hizo hela haraka sana kwenye account waliopewa.mahakama yetu kweli imeoza na iko bega kwa bega na mafisadi kuiangamiza nchi.

  Kuna habari ambazo zimepatikana kuwa NMB hawako tayari kufanya uozo huu na hela iko njiani kupelekwa CRDB ili ziweze kupelekwa nje ya nchi.

  Orders kutoka BOT,ikulu na mahakama kuu kuwaamuru wakubwa hawa wa bank zipo na tunasubiri tu mda muafaka tuziweke hadharani

  Tutazidi kujuzana issue inavyoendelea
   
 2. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  zama na urudi na vielelezo tuipigie kelele maana nashindwa kutia neno hapa
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,548
  Likes Received: 81,990
  Trophy Points: 280
  Duh! Tafuta info zaidi Mkuu kuhusu pesa hii tena haraka sana kabla haijakwapuliwa na mafisadi.
   
 4. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135

  Tufanye analysis kidogo ya taarifa hii ...

  1. Walioko against Dola hizo ...zaidi ya milioni 30 ...ni IKULU, BOT na Mahakama Kuu .... and this is very serious!!

  2. Wanaonyesha UZALENDO ni Banki ya walala Hoi ... NMB ... and this is very good!! AND CRDB .... Make sure you dont get into the dirty game!! Kwa kawaida hawa wanatakiwa kupata wapi msaada wa kunusuru heala kama hizi? Na wamefanya hivyo?

  3. Swali: ..... NMB walifikishwa mahakamani na nani na kwa KOSA GANI?
  ..... Zinatumwa kwenye A/C ya nani huko nje ya nchi?
  ..... Nchi gani?
   
 5. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ukiangalia hiyo triangle ni kwamba wameanza kukusanya hela kinyemela kwa hizi chaguzi ndogo maana mfadhili wao mkuu amejiweka kando
   
 6. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu kumbukumbu zangu zinaniambia akaunti za meremeta zote zilifungwa na hiyo kampuni ilifilisiwa kwa maana kwa maba haipo tena kule BRELA, sasa sijui hiyo hela ina exist kwa juna lipi huko benki. Anywayz bongo kila kitu kinawezekana maana kama account ya Tangold ilifunguliwa siku ya jpili/sikukuu hili litashindikanaje. Sisi twasubiri!!!!
   
 7. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Aisee!
   
 8. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,836
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Nchi hii itajengwa na wazalendo wenye moyo! Tafadhaari sana fanya kila uwezalo kutujuza kila linalojiri kuokoa pesa hizi! They are wounded Zebra in Serengeti tayari wameanza kutafuta pesa ya Kampeni Igunga!
   
 9. Salanga

  Salanga JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kisururu ubarikiwe endelea tuletee info zaidi.
   
 10. Jefe

  Jefe Member

  #10
  Aug 8, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii hela ingesaidia pagubwa katika ku solve tatizo la umeme.
   
 11. D

  Derimto JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Haya tunayataka wenyewe maana watu walileta issue ya Shimbo hapa jamvini na wengi wetu tulianza kuwashambulia eti wametoa wapi taarifa hizo!? badala ya kila mzalendo kuanza kutafuta ukweli kwa kutumia vyanzo mbalimbali tumeanza malumbano utadhani tumelogwa mpaka ile thread ikachomolewa kwa sababu tumezoea ili taarifa iwe ya halali lazima itolewe na mafisadi kupitia habari leo na tbc1 vinginevyo watu watatishwa sana na wametishika yako wapi ya Shimbo sasa? Kila mtu amefunga mdomo WACHA WACHUKUE TUMECHOKA NA MAJUNGU TULIYO NAYO NA WOGA ULIOPITILIZA.
   
 12. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Wali freeze account za meremeta. So bado pesa ipo kwenye account, kilichozuiwa ni transactions zozote kufanyikA kwenye hiyo account.
  Nina taarifa pia NBC wana pesa za Meremeta.
   
 13. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #13
  Aug 8, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Heri ningezaliwa Kenya kuliko hapa Danganyika!
   
 14. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,084
  Likes Received: 7,312
  Trophy Points: 280
  Au labda iko "suspense account",
  Cha msingi ni kujua huko iendako inaenda kua Credited wapi,
  Isije ikawa yaleyale ya Jairo, inatafutwa account ambayo ni kama shimo, watu wakazichote huko
   
 15. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kweli wana jamvi wengine wamechanganyikiwa badala ya kuzama kutafuta ukweli tetesi zinapoibuka tunambana mtoa tetesi aje na source/ushahidi! Tunapaswa kuelewa kwamba mambo yote ya kifisadi huwa na tabia ya kuvuja na ndio maana huanza kama tetesi kisha tunatafuta ushahidi wenyewe , Kisururu nikutie moyo tu pindi unapopata nyeti zidi kutujuza
   
 16. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #16
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 636
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Now days i doubt with insight information provided here specifically on Ufisadi.Big stories with poor evidence to support, unshape the dignity of our forum.We can not continue to comment whatever we see front but we need to get accurate,relevant and reliable source of the called scandals and that is where our comments,remarks and concerns of findings take part of the great/deep thinkers.

  I repeat ''we can not perpetuate on roaming romours all the time that disgrace our vested logo''.
   
 17. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #17
  Aug 8, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,361
  Likes Received: 6,380
  Trophy Points: 280
  Tangu wiki iliyopita (ile j'tatu na j'nne) kulikuwa na hizi movements sana; sina uhakika kama zote ni fedha za Meremeta au na nyingine.
   
 18. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #18
  Aug 8, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280

  Hee; kumbe!!! ama kweli hivi sasa mods wa JF wameishiwa na bila shaka ni bora wakiifunga hii forums!!! Kumbe wakiona watu wanarumbana kwenye hoja tu kwa ajili ya kutaka source/ushahidi wao wanaamua kuichomoa hoja husika!!!?? Lakini taarifa nilizonazo ni kwamba hoja ile iliondolewa ili kutafuta taarifa zaidi na watu wakaenda mbali kwamba mkuu max alipata jambajamba kidogo toka kwa wenye nchi hadi ka kuichomoa ile thread! Hata hivyo, nashukuru kwa taarifa yako hii mpya kwamba waliiondoa kutokana na malumbano ya wachangiaji!!! Bila shaka, hili ni fundisho kwetu wachangiaji kwamba tuache malumbano kwenye hoja zinazotolewa na wote tuwe na mtizamo unaofanana!!
  Nawasilisha!!
   
 19. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #19
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 636
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  NasDaz haiwezekani wote tukawa na msimamo ''unaofanana''.Hii forum si chama cha siasa.
   
 20. D

  Derimto JF-Expert Member

  #20
  Aug 8, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  <br />
  <br />
  Nadhani tukiendelea kuwa na watu kama wewe bado ni matatizo tu na sijui akili zako zinakusaidia nini maana unataka ushahidi unategemea kwenye ufisadi nani atakupa ushahidi au unataka mtoa taarifa akutumie copy za emaila za malumbano yaliyokuwa yanaendelea!? Wakati huna hata pa kupeleka yaani huna hata ki blog!!? Hivi ni lini tutakuwa na mawazo ya kizalendo na kufuatilia mambo ki umakini badala ya kujidai ni wanasheria mnaotaka ushahidi na kujifanya mahakama!? Mtoa taarifa ameshasema ni tetesi sasa wewe unataka ushahidi hujioni kama wewe ni mvivu wa kufikiri(Litle Thinker)? Na kama tetesi kila mtu ajaribu kucheki na watu ambao wanafanya kazi sehemu husika kama vile ndugu jamaa na marafiki? Tutapata ukweli lakini usitegemee kwenye nchi iliyooza kwa rushwa na matisho utapata habari kama hii bila kutafuta mwenyewe kupitia sehemu kama hizi. Hebu jamani tukue na tuchambue mambo kwa kina badala ya kujidai polisi au mahakamana waswahili husema lisemwalo lipo na kama halipo linakuja.
   
Loading...