Guangzhou-based 21st Century Business Herald says a key highlight of Mr Xis visit is China helping Tanzania build a port connecting the African country to Chinese, Middle Eastern and European...
Mbunge wa Kigoma CHADEMA, Zitto Kabwe pamoja na Wabunge wenzake kadhaa vijana leo wamemaliza rasmi mafunzo yao ya awali.
Mheshimiwa Esther Bulaya akikabidhiwa cheti cha kuhitimu mafunzo ya...
line up mwambigija(mzee wa upako),jidawaya kaza moyo opolukwa,wananchi wanalalamika mulugo kula fedha za mfuko wa jimbo,huku hakuna barabara,shule hazijengwi,na kikao cha ndani ccm aliwaambia...
Leo nipo na wewe Mh. Rais kikwete. Nakupongeza sana
kwa majukumu kazi nyingi za kuendelea kuijenga nchi yetu.
Rais kikwete wewe ni kiongozi hodari, mchapa kazi, mzalendo
Ni dhahiri kwamba wewe...
HUDUMA za usafiri wa treni ya masafa mafupi jijini Dar es Salaam haijulikani itarejea lini baada ya miundombinu ya reli kuharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha.
Akizungumza na Tanzania...
Inashanagaza na kusikitisha kuona kila anayetaka kuizungumzia CHADEMA kwa baya au zuri huwa hakosi kuwataja viongozi hao hapo juu na wengine wengi.Hali hii inasikitisha kwani ni wenye akili ndogo...
Naam wanajamvi....
Leo nakuja na uzi juu ya mwenendo wa nchi zetu za Africa hasa Tanzania taifa langu, ukifuatilia kwa ukaribu mwenendo wa nchi karibu zote za Africa hasa za Africa magharibi na...
Wadau,
Hii mikataba 17 aliyoingia JK na rais wa china sio tu inatutia mashaka juu ya wengi wape bali pia uharaka wake na usiri uliopo. Kwenye hotuba zao marais hao walisema ina masharti nafuu...
WANAJAMVI,
NOTE:Haya hayahusu chama, ni jinai. Ingawa mimi ni mwanachama wa chama cha siasa na hawa wengine ni wanachama wa vyama vya siasa.Kwa hiyo demand za vikao vya vyama hapa ni...
-Waziri wa Viwanda na Biashara huku akizomewa anasema gesi haitasafirishwa kwa bomba kwenda Dar , bali umeme ndio utakaosafirishwa - Serikali imeingia mkataba na Symbion kusafirisha umeme, SIO...
Baada ya CUF kuingia mitini chaguzi za serikali za vijiji na ulingo kubaki kwa chama makini cha upinzani Chadema na chama cha mabwepande mpaka sasa chadema imeshajipatia vijiji viwili, chadema...
Nimemsikiliza kwa makini Ndugu Steven Wassira katika kipindi cha Dakika 45 jioni hii, na sikufurahishwa na jinsi alivyoliongelea suala la udini kana kwamba serikali ilikuwa likizo.
Ni kwa...
TUKIO la kukamatwa na kufikishwa Mahakamani kwa Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare, kwa tuhuma za ugaidi, huenda likasababisha...
Salamuni,
Tafadhali ninaomba kuelekezwa kuhusu suala la kama kuna uwezekano/kuna mpango Wafanyakazi tukawepo katika mpango wa kutumikia mafunzo ya Jeshi la Kujenga taifa kwa Muda mfupi kama...
Mbunge wa Ubungo John Mnyika, ameitaka Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) kuisaidia serikali kwa kuielekeza kutatua matatizo ya Watanzania badala ya kuhangaika na mikakati ya kuvidhoofisha vyama...
Wakuu, China hadi sasa ni ya pili duniani katika ukubwa wa chumi, baada ya USA. Ina maana, kimsingi super powers kwa sasa ni USA na China, baada ya Warusi kudondoka. Ili kulinda maslahi yake ya...
Ndugu zangu,
Niliandika juzi, kuwa mwaka 1964 yawezekana kabisa ndio ulikuwa ni mwaka mgumu sana kwa Julius Nyerere katika kipindi chake chote cha Uongozi wa nchi hii.
Ni mwaka uliokuwa na...
Ndugu wanajamvi, salamu.
Kutetereka kwa hali ya amani ya nchi yetu Tanzania kunakotokana na tetesi za uwepo wa vikundi vya kigaidi vya siasa kali za kiislamu vinavyodaiwa kupanga kufanya...
Baada ya gazeti la Mwananchi kuweka hadharani kashfa ya naibu waziri wa elimu Bwana Philipo Mulugu kuhusu elimu yake na majina mbali mbali aliyotumia katika hatua mbali mbali za elimu kuanzia...
KITAIFA
Wakazi wa Ngorongoro Na Waandishi Wetu
Posted Jumatano,Marchi27 2013 saa 8:39 AM
KWA UFUPI
"Hairuhusiwi kufanya shughuli yoyote katika eneo lililotengwa na Serikali kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.