Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
kumekuwa na upotoshaji au propaganda kwamba chadema hakipikiki chungu kimoja na waislam walio wengi(sio wote),je suala hili ukweli wake ukoje?na je ni wapi hasa kama papo wanapotofautiana na...
15 Reactions
154 Replies
19K Views
  • Closed
Nimesoma habari chache katika forum yetu hii zilizo nipatia picha hafifu juu ya ng. Chris Lukosi. kwa dhamira isiyo na nia yoyote ile ila kutaka tu kujua, na kujenga ufahamu, ninaomba kupata...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
balozi wa tanzania nchini china, (malmo) yupo itv live hivi sasa akishambuliwa na wananzengo. ktk kiti moto hicho imeonekana balozi anashambuliwa na vijana yeye pamoja na rais (ingawaje hayupo...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
2013-03-28 | Xinhua A Ministry of National Defense spokesman said Thursday a port in the Tanzanian town of Bagamoyo is a Sino-Tanzanian joint business project and any attempt to hype up its...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Thursday, March 28, 2013 Na Salome Kitomary Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imepitisha bajeti ya Wizara ya Uchukuzi, ambayo imetengewa zaidi ya Sh. bilioni 548; kwa ajili ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nyerere na Karume Na Kelvin Matandiko | Jumatano, Januari 9 2013 JUMAMOSI ijayo Zanzibar inatimiza miaka 49 tangu kufanyika mapinduzi ya Januari 12, 1964 ambayo yaliung’oa utawala wa...
1 Reactions
41 Replies
5K Views
IMF Executive Board Completes Fourth Review under the Policy Support Instrument for Tanzania and Approves a US$224.9 Million Precautionary Arrangement under the Standby Credit Facility Press...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tanzania Daily News (Dar es Salaam) BY ANNE ROBI, 14 MARCH 2013 Photo: AfDB The government plans to increase power generation in the country through geothermal energy (file photo) THE...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
CCM imechoka,inahitaji kuji reform upya,nguvu hiyo haina,ni kama mnazi uliofikia kikomo kuendelea kujizaa,imebaki na mlingoti uliosimama,bila ya matunda,hakuna tena uwezekano wa kuifanya iweze...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Juzi nchi yetu ilipata ugeni mkubwa toka China. Rais wa China ambaye Hana hata wiki tatu madarakani katutembelea na Kwenye Ziara hii Serikali zetu zimesaini mikataba mikubwa ambayo italeta si tu...
3 Reactions
102 Replies
8K Views
Wanajamvi heshima na Adabu Kwenu, Yule mtoto wa katibu mkuu Mstafu mzee Yusufu ambaye kabla hajaukwaa uheshimiwa Naibu Waziri alikuwa miongoni mwa Vijana waliokuwa wanautafuta Ukombozi wa pili...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) Bwana Ludovick Utouh akikabidhi Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya mwaka 2011-2012 kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau hali Tete inawakabili wanachama wa CHADEMA na wananchi kwa ujumla katika kijiji cha Kalela na kijiji cha Kwaga kata ya Kwaga wilaya ya Kasulu.Back ground ya Tatizo iko kama ifuatavyo...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Wana JF, nimesikitika sana kusika habari ya kifo cha Mbunge wa Chambani Pemba, Mh. Salim Hemed Khamis. Mwenyezi Mungu aipumzishe roho yake mahala pema peponi. Amin. Kwa kweli nimeshutuka kuona...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Aliyekuwa mbunge wa Chambani visiwani Zanzibar, Mheshimiwa Salim Hemed Khamis amefariki dunia. Taarifa zisizo rasimi ni kuwa amefariki hospitali alikopelekwa baada ya kuanguka. Marehemu...
0 Reactions
106 Replies
10K Views
Wadau wote wa maendeleo ya wilaya ya kibondo na mkoa wa kigoma kwa ujumla mnakaribishwa kwenye mkutano maalumu utakaojadili masuala ya maendeleo katika wilaya za kibondo na kakonko. Kwa undani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwenye taarifa ya habari ya TBC mchana huu serikali imesema kuwa kila wizara na idara ya serikali itaweka mikataba yote iliyosainiwa kwenye mtandao katika masaa 24 yajayo ili kuondoa hali ya...
6 Reactions
122 Replies
9K Views
Nimekuwa nikifuatilia kwa umakini jinsi ambavyo vyombo vya habari vya magharibi (hasa hasa BBC na CNN) vilivyoripoti ziara ya rais wa china Xi Jinping hapa nchini kwetu. Inasikitisha na...
2 Reactions
61 Replies
5K Views
Habari Nusu saa ya Lissu balaa kwa Spika Mwandishi Wetu Toleo la 287 27 Mar 2013 HALI ya mambo si swari kuelekea mkutano ujao wa Bunge na hasa kwa Spika wa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
  • Closed
Ninazo sababu nne za kumtaka JK apelekwe mahakamani, mara baada ya kumaliza muda wake wa uongozi. Ama katiba ibadilishwe na ashitakiwe katika mahakama zetu za hapa nchini au apalekwe the Hague...
21 Reactions
187 Replies
11K Views
Back
Top Bottom