Kwame Nkrumah
JF-Expert Member
- Dec 2, 2008
- 886
- 376
-Waziri wa Viwanda na Biashara huku akizomewa anasema gesi haitasafirishwa kwa bomba kwenda Dar , bali umeme ndio utakaosafirishwa - Serikali imeingia mkataba na Symbion kusafirisha umeme, SIO GESI kwenda Dar. - Mtwara itakua kitovu cha maendeleo Tanzania [ ha hahaaa] - Vijana wanaimba 'hatuogopi, hatuogopi", mbele ya Waziri, Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mkuu wa Mkoa. - Hajasema chochote kuhusu ujenzi wa Bomba la Gesi.