Hoja binafsi - Mikataba 17 ya China ijadiliwe bungeni

Mwangaza

Senior Member
Feb 26, 2008
198
64
Wadau,

Hii mikataba 17 aliyoingia JK na rais wa china sio tu inatutia mashaka juu ya wengi wape bali pia uharaka wake na usiri uliopo. Kwenye hotuba zao marais hao walisema ina masharti nafuu, bila kutwambia unafuu gan?..nini siri!!

Si busara wala haki hata kidogo kukalia hili kimya, japo rais katumia badala yake vyema kwa mujibu wa katiba yetu hii mbovu.

Najua humu JF, kuna wabunge wengi tu! OMBI kwa wabunge waandae hoja binafsi mikataba hii ijadiliwe bungeni watanzania wote tujue kilichomo, hata ikibidi kufanyia amendment itakapowezekana,maana mikataba bora hurusu amendments.

NAWASILISHA HOJA.
 
Top - Bottom approach -- mikataba inajadiliwa baada ya kusainiwa.
 
Back
Top Bottom