Napenda kueleza kuwa mimi ni mfuatiliaji sana wa siasa za Kenya. Namshangaa Odinga kulalamika kuwa amedhulumiwa kwenye uchaguzi, anabishana na ukweli. Ukweli ni kwamba siku alipogombana na Ruto...
WAKATI alipokubali kuzungumza na waandishi wa habari kutokea Kilimanjaro Hotel kuhusu mchakato wa kumpata mgombea urais mnamo Machi 14, 1995, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, alionya...
Posted by khelef on Friday, April 5, 2013
BAADA ya Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar (DDP) kulitaka Jeshi la Polisi kumwachia mtuhumiwa Mussa Omar Makame kutokana na ushahidi kutojitosheleza, jeshi...
Dear friends,
We are elders of the Maasai from Tanzania, one of Africas oldest tribes. The government has just announced that it plans to kick thousands of our families off our lands so that...
05/04/2013
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba (kushoto) akizungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari nchini (MOAT), Reginald Mengi...
Kila mtu anafahamu wazi kwamba mchezo mnaoufanya mlishaupanga kitambo na sasa mmeanza kuutekeleza kwa awamu Kutumia dola ISIYOJITAMBUA kubambikiza kesi kwa viongozi wa upinzani hasa CHADEMA...
Umesambazwa ujumbe kwa njia ya simu na imeili kwa kila Waziri atokaye kila mkoa wa Tanzania ili awafikishie Wabunge wa CCM wa mkoa wake kuwa Bajeti ya Serikali ikapite bila bughudha yoyote. Kila...
Stephen Daniel Mgombera aliyekuwa kiongozi CCM upande wa Siasa, Elimu na Uenezi Mkoa wa Morogoro amefariki dunia tarehe 03/04/13 kwa shinikizo la damu. Wakati wa uhai wake aliwahi kushika nyadhifa...
Naisihi sana CHADEMA na wananchi wapenda amani kwa ujumla wasilichukulie kwa mzaha suala la RPC wa Moshi kumkamata Mchungaji, Diwani wa CHADEMA, Mh Hilda Woisso na kumlaza rumande kwa tuhuma eti...
Kulikuwapo habari za uwepo wa uzinduzi wa M4C jimbo la kati (Dodoma,Singida,Morogoro) kesho j'mosi tar 6 april!mwenye taarifa atujuze kama zoezi hlo lipo au limeahrishwa!
Nawasilisha!
Meya wa Ilala, Jerry Silaa ameendeleza siasa zake za majitaka leo Majumba Sita (ukonga) ambako alikutana na vijana pale njia panda ya Segerea na kuwaambia CCM itawaletea mabadiliko makubwa 2015...
Mheshimiwa Makinda, hiyo tume kama ni ya CCM haitaleta la maana. You are always extremely biased. Huwezi kumwangusha aliyekuweka madarakani. Kupoteza hela tu,waambie wananchi kwa nini leo...
Kuna wakati ukiangalia siasa wanazofanya Juliana Shonza na Mwampamba (hasa Mwampamba) wanachofanya sio siasa, wanachokifanya ni utoto! Tena unaweza kudhani kwamba inawezekana CHADEMA walipumua...
Kuna thread iliwekwa humu kuwa nilikuwa naongea na Nyakarungu na mara baada ya Dr Slaa kufika nilikimbia.
Taarifa hizi kuwa nilikimbia sio za kweli na sikuwa na sababu ya kufanya hivyo. Nina...
Mimi napendekeza kuwa utaratibu wa rais kuhutubia taifa kila mwezi ufutwe kwasababu hauna tija. Hotuba hizi ilitarajiwa ziwe zinajibu kero na shida za wananchi na kuwa dira au mwongozo wa utatuzi...
Uyu mama anapongangania kuwa Ziwa lote lake wakati mito ya kwao huchangia 33% ya maji ya ziwa ivihaoni kuwa apo anacheza na moto?
Maana kwa Tanzania twaweza jenga mabwawa kuconserve maji badala ya...
Nimefanya shughuli zangu mkoa mpya wa simiyu kwa miaka 7 sasa. Awali CCM na UDP vilikuwa ni vyama vilivyokuwa vinapendwa sana na wananchi. Hali hii ilibadilika katika uchaguzi wa 2010 ambapo...
Uraisi ujao hapa Tanzania wa muungano toka chama tawala kiwe na mgombea toka Zanzibar ili kuondoa sintofahamu ya muungano wetu wa Tanzania na Mungu akipenda awe Salim Ahmed,katibu mkuu wa umoja wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.