Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu wana JF heshima mbele, Tangu gorofa lianguke jijini Dar na kuua watu, nimekuwa nikitafakari sana ni magorofa mangapi tena marefu zaidi ya lililoanguaka juzu na kuua makumi ya watu. Siku si...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CCM yaunda kamati kushughulikia mgogoro: Arusha. Chama Cha Mapinduzi (CCM) hatimaye kimeingilia kati mgogoro wa ardhi Loliondo, baada ya kuunda kamati maalumu kuchunguza mgogoro huo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeendelea kustajabu ya Musa ndani ya serikali hii ya CCM hasa nikikumbuka kuwa ukiwa mbaya wao hata iwe ni kitu cha natural mitakuwa ni uzembe au makusudi. Ajali ya jaji Mwaipopo RIP kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika hali inayoongeza sintofahamu katika Sakata la Muuaji wa Padre Evarist Mushi, Pamoja na katika Vyombo vingine vya habari, vikiwemo Televisheni, Magazeti na Redio, Tamko halisi lililotolewa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
TUME ni chombo maalumu kinachoundwa na idadi fulani ya wajumbe kwa ajili ya kufuatilia jambo au tukio fulani kwa lengo la kutafuta ukweli fulani. Lengo la kuziunda tume ni kutaka mapendekezo...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Siku yaja na i karibu kufika. Ni siku ambayo yule anayekula kwa raha wakati huu kwa sababu ya kutaabika kwa watu waliyowengi ataelewa kuwa ni utulivu wa hawa waliyo kwenye tabu unamfanya ajisikie...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Tanesco has been forced to pay 30 million US dollars (about Sh 48 billion) as security to safeguard its case pending before the Court of Appeal, challenging payment of 65,812,630 US dollars (about...
4 Reactions
35 Replies
4K Views
Ndg. Joseph Luther ambaye alikuwa Katibu wa CHADEMA kata ya Iguguno Singida amerudisha kadi leo na kujiunga na CCM mbele ya mlezi wa tarafa hiyo ndg Francis Issack. Joseph aliyerudi na vijana 26...
2 Reactions
63 Replies
6K Views
Huu ni Muhtasari, taarifa kamili angalia source. Muhimu ni kulinganisha na upuuzi wa wanasiasa wetu ambao imeshindikana hata kuangalia Swiss banks zina nini baada ya kuandikwa kwenye vyombo vya...
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Kwa maoni yangu hili suala la kuchinja linaendelea kuchukuliwa kimchezo... serikali ilitoa matamko hapo awali kupitia Waziri Wasira kuwa wenye haki ya kuchinja ni waislamu... tumeona yaliyofuata...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Niwape salamu wanaJF, baada ya hapo niweke wazi mapungufu ya hotuba ile ya Rais kama ifuatavyo;- Hakutoa hotuba kwa uhalisia wake na inaonesha hadharani,alikuwa anasoma kupitia mashine iitwayo...
1 Reactions
112 Replies
12K Views
MAELEZO YA MHE. DIWANI HILDA WOISO (VITI MAALUM) CHADEMA ALIVYOKAMATWA NA POLISI KWA KOSA LA KUTEKA. Mimi nilisafiri kuanzia Jumatatu25/3/2013 kwenda kuhubiri injili Simanjiro. Nilikuwa na...
6 Reactions
58 Replies
6K Views
  • Closed
Kwenye hotuba yake ya mwisho wa mwezi nimemsikia rais JMT Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akisema "Kuna misikiti mitatu ili kaa itikafu ili mimi, kamanda wa polisi Sulemani Kova na Saidi Mwema...
41 Reactions
305 Replies
32K Views
Katika hali isiyo ya kawaida wakazi wa Moshono wameshangazwa na kauli zinazoendelea katika Kata ya Moshono wakati taratibu za maziko ya Vijana waliofukiwa na Ngema ikiendelea. Kumekuwako na...
2 Reactions
67 Replies
11K Views
  • Closed
Maduka yote yamefungwa matairi yanachomwa barabarani, magari ya polisi yanamwagwa mitaani. Chanzo cha vurugu ni mkuu wa wilaya kuzuia wakristu kuchinja na kwamba wanaoruhusiwa ni waislam tu...
1 Reactions
451 Replies
50K Views
  • Closed
Kwenu Wasomaji….Natumia nafasi hii kwanza kuwasalimieni wana jamii forum na waTanzania wenzangu kwani ni mara yangu ya kwanza kuandika hapa japo si mgeni sana kusoma yanayochangiwa na...
83 Reactions
463 Replies
42K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) itakutana kwa siku mbili kwenye kikao chake cha kawaida jijini Dar es Salaam, kuanzia tarehe 3-4...
10 Reactions
84 Replies
7K Views
Heri ya Sikukuu ya Pasaka! Majuzi, tarehe 31 Machi 2013 ilikuwa siku ya mwisho kwa kumaliza robo ya kwanza wa mwaka 2013. Miezi mitatu imekatika huku wananchi wakizidi kukosa matumaini. Ni...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA kinatarajiwa kutoa tamko kali kulaani ongezeko la nauli nchini.Tamko hilo linatarajiwa kutolewa wakati wowote kuanzia sasa. Kupanda kwa nauli imekuwa...
4 Reactions
103 Replies
9K Views
Naomba nirudie tena kuandika changamoto zitakazo jitokeza endapo tutawaruhusu wakristu kuchinja ikiwa ni mwendelezo wa uzi nilio andika "Raisi wangu kaongea kakosea sawa, nini kifanyike?". Naomba...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom