Hi kwa nini CCM inampandisha chati mtu mbumbumbu kama huyu ambaye ameshindwa kabisa kuonyesha umahiri katika utendaji wake? Hapo ndipo nawashangaa sana CCM na hasa Mkulu wao JK.
Kampa u-NEC na...
Friday, 05 April 2013 19:31
By The Citizen Reporter
Dar es Salaam. Prime Minister Mizengo Pinda has said that the government will take earnest measures to curb the countrys steep population...
Nawasalimu wana JF wote! Rejea kichwa cha habari hapo juu, ni miezi karibia mitano (5) tangu Chama Cha Mapinduzi (CCM) walipofanya uchaguzi wa halmashauri mpya na kutangaza...
Habari za jioni wana JF,
Leo nimerudi nyumbani kwangu mbio mbio baada ya mihangaiko ya siku ya kutafuta riziki, mojawapo ya sababu za kuwahi home ilikuwa ni pamoja na kuwahi taharifa ya habari ya...
POLITICS AND POLICY
By EDWIN MUTAI
Posted Thursday, April 4 2013 at 21:03
An international election observer has criticised the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) over...
Hivi karibuni kumejitokeza mkanganyiko mkubwa kati ya wamiliki wa vyombo vya habari, hususan vya luninga, na Serikali, kuhusu kile kinachoaminika kuwa kutokujipanga vizuri kwa Serikali katika...
Kwenye hotuba ya mwisho wa mwezi huu Rais alisema kuna Misikiti imemsomea itcaf ili yeye, Said Mwema na Kova wafe. Hoja yangu iko hivi, hawa waliomwombea Rais afe kama wangepata nafasi ya kukutana...
Habari zenu wana Jf!
Katika pitapita zangu za mitandaoni leo nimekutana na kitu ambacho kimenisikitisha kidogo pale nilipotembelea website ya wizara ya afya na ustawi wa jamii (www.moh.tz) baada...
ni muda sasa toka meli ya mizigo ya katibu mkuu wa chama ikamatwe kule honkong alakini mpaka muda huu hatukujua na wala hatujui ni nini kinaendelea.
[1]serekali haijasema imechukua hatua gani...
Wanajamvi,
Mtakumbuka kuwa tarehe 26 januari mwaka huu, ziliibika ghasia zikiwahusisha madereva wa piki piki maarufu kama 'boda boda' na askari wa jeshi la polisi maarufu kama 'tigo', madereva...
Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa CHADEMA leo amesema majibu aliyoyatoa Nape kuhusu kampuni ya CCM ya Jitegemee hayajitoshelezi kwani hayajibu swali la msingi la "kwa kwanini kampuni ipewe tenda...
" We threw Amini out and he ended up dying in exile in Saudi Arabia. Does this grand-daughter of (Kamuzu) Banda (President Joyce Banda) want us to do the same to her?" Tafsiri yangu; " Tulimuondoa...
Wanajamvi,
Katika upekuzi wangu wa hapa na pale nimepata wazo kuwa viongozi wengi hasa wa bara la afrika wana IQ ndogo. Hii ni kutokana na kuwa watu wenye IQ ndogo tangu wakiwa wadogo au katika...
Mimi ninapata shida sana ninaposhuhudia ajali barabarani ambayo kwa mtizamo hata usio wa kitaalamu sana inaonesha kuwa ajali hiyo ilikuwa ya kuepukika na badala yake inasababisha maumivu makali na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.