Erasto..sichila
Member
- Apr 9, 2012
- 78
- 8
Uraisi ujao hapa Tanzania wa muungano toka chama tawala kiwe na mgombea toka Zanzibar ili kuondoa sintofahamu ya muungano wetu wa Tanzania na Mungu akipenda awe Salim Ahmed,katibu mkuu wa umoja wa Africa wa zamani.
Huyu mtu anafaa ametulia ukweli kama mugombea atoka bara tena nchi yetu itazidi kuyumba sana kama tuonavyo sasa ,sababu ni kuona kuwa upande mmoja wa muungano unaona umemezwa na bara tutumie busara tumpate Rais toka Zanzibar.