Jk ali black mail CCM na baadaye taifa Zima kwa kauli ya mwl...taifa lilikuwa ktk immense pressure kiasi ch akumpitisha kila mahali bila kuhoji weledi wake ktk uongozi, na mara nyingine aliyehoji...
Risasi zinarindima! Ni baada ya raia mmoja kupewa kichapo hadi kufariki.
MWILI WA MAREHEMU YOHANA MDA MCHACHE BAADA YA KUUAWA NA WANAJESHI WA JWTZ.
Updates:
- Gari la Polisi (Difenda)...
The government of the United Republic of Tanzania, through the minister of natural resources and tourism on 26/03/2013 has officially announced to forcefully evict people living in loliondo Game...
Ni kwamba nimetoka eneo kulikobomoka jengo la ghorofa 16 na likabaki shimo, ambako saa moja iliyopita Kamati ya Bunge Maliasili na Mazingira ikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo James Lembeli...
Mh. Ibrahim Kisoki ambae ni Diwani wa kata ya Goba (CCM) na mmiliki wa Kampuni ya Lucky Construction Limited iliyojenga lile ghorofa lililoporomoka majuzi ana haki ya kuipigania CCM kwa nguvu zake...
Wanabodi,
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kinasema kimebaini mkakati wa makusudi kuwadhuru viongozi wa chama pamoja na mpango wa kuidhoofisha CHADEMA mpango huo unaratibiwa na Idara ya...
Katika miaka ya 2010-2013 ni wazi kuwa CHADEMA imezidi kupata umaarufu na kukubalika zaidi kwa raia wa Tanzania. Hii imetokana na juhudi kubwa ambazo zimefanywa na wanachadema. Pamoja na...
Wananchi wote wazalendo tunapenda muorodheshe kero mbalimbali za kuwasilshwa katika bunge lijalo la bajeti kuhusu masuala yote ya kisiasa,kijamii,kiutamaduni na kimataifa pia...
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA leo kimesema Usalama wa Taifa wanatengeneza mashahidi kwa ajili ya kesi ya Lwakatare. Pia wamedai Mshtakiwa namba wa kesi hiyo Ludovick amekuwa alipokea...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Phillip Mangula
Na Shaban Lupimo na Brandy Nelson | Mwananchi | Aprili 5, 2013
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2008 au 2009 katika kinyan'ganyiro cha kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM Taifa ndugu Nape alipojipambanua kuwa yeye ni mpambanaji wa ufisadi,na kudiriki kumlipua...
zitto kabwe ameandika barua kwa katibu mkuu dr slaa akitaka mambo mawili yafanyike
1.lwakatare achunguzwe na chama
2.lwakatare ajiuzulu nyadhifa zote alizokuwa nazo ndani ya chama.
3. Ushauri huu...
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) Zanzibar, Ibrahim Mzee Ibrahim
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) Zanzibar, Ibrahim Mzee Ibrahim, ametupilia mbali uchunguzi wa mauaji ya Padri Evarist Mushi uliofanywa na...
VIONGOZI waandamizi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wasira, na Naibu Katibu Mkuu (Tanzania Bara), Mwigulu Nchemba, wameaswa kuacha siasa...
Kwa Zanzibar tuanaona wazi kuwa hoja ya udini ni matakwa ya kisiasa sababu,mbona wakristu wanatembea mitaani hapigwi na kuuliwa wanaishi na watu mitaani wanakaa mskani na watu wa Zanzibar.
Sasa...
Habarini wana jf. Habari za kuaminika toka maeneo mbalimbali nchini, ni kwamba uchaguzi wa wajumbe wa kinachoitwa baraza la katiba la wilaya umeingiliwa na siasa kwa kuingiza kipengele cha chama...
Taifa lipo njia panda likiweweseka,na hatari kuu za maangamizi.Nchi imekosa dira na mwelekeo wa maendeleo,uchumi wan chi
umelala.Tunaimbishwa wimbo wa ujamaa huku tukichezeshwa ngoma ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.