Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Let us look at the Bagamoyo deal in a wider scheme of things. The choice of building a the largest port in Bagamoyo raises more questions than it answers. Of the three main seaboard ports...
9 Reactions
77 Replies
8K Views
Chama chetu cha ADC kwa mara ya kwanza katika historia tangu kipate usajili wa kudumu mwezi wa nane mwaka jana, kimefanikiwa kushinda chaguzi ndogo mbili za wenyeviti wa vijiji huko wilayani Magu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Gazeti la Rai la Leo lina taarifa kuwa kuna mkakati wa Kuichafua CHADEMA kwa kuihusisha na kutekwa kwa Kibanda. Nina nukuu gazeti. Uchunguzi wa RAI umegundua kuwa kuna kila dalili za kukihusisha...
41 Reactions
298 Replies
24K Views
*Atuhumiwa kughushi hati ya Sh mil 500/- MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Temeke, mkoani Dar es Salaam, Ayoub Chamshama na mwanaye, Saidi Ayoub Chamshama, wamepandishwa...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
KATIBU Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, amekiri kuwa Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, amekipa chama chake mradi wa kifisadi wa mamilioni ya shilingi wa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Nianze kwa kusema kuwa CCM pamoja na Dola lake lote hakiwezi kuisambaratisha CHADEMA, na hizi harakati zote zinazoonekana kama ni mbinu za kuiangamiza CHADEMA ni silaha dhaifu kabisa zisizo na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamii naleta hoja kwenu kuwa tuungane kwa kupiga honi za magari nchi nzima tarehe 15/04/2013 saa 1:00 asubuhi kwa muda wa dakiuka 5 ili kuikumbusha serikali yetu kuwa hatuliziki na...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Ndugu zangu, hali imekuwa mbaya kila uchao. Kila mmoja anaimba lake. Tuko mithili ya ndege waliopoteana. Umoja wa kitaifa umepotea, kilichobaki ni kutangaziana udini tu. Tumechochewa na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) hatimaye kimeingilia kati mgogoro wa ardhi Loliondo, baada ya kuunda kamati maalumu kuchunguza mgogoro huo, itakayoongozwa na Naibu Katibu Mkuu Bara, Mwigulu Nchemba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
By Edwin Musoni April 05, 2013 Tanzanian officials visit Kigali memorial centre in 2009. Some 917 remains of victims of the 1994 Genocide against the Tutsi were discovered buried in the...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau wa jf, mda mrefu sana najaribu kutafakari siasa za Tanzania na mustakabli wake wa baadae nakosa majibu, hivi kwa nini CCM kwa kutumia vyombo vya dola havipendi kuona vyama vya upinzani chini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tuesday, March 5, 2013 Maridhiano yaliyofikiwa Zanzibar kati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Wananchi (CUF) na kuwezesha kuundwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa yako hatarini baada ya...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Katika Afrika Tanzania na Congo DR ni miongoni mwa nchi zilizo na rasilimali nyingi na ni nchi zisizokuwa na mipaka wala ukabila. Tukichukulia Tanzania kama Tanzania wanadai mnwenyeji ni Mgogo...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau, hivi karibuni, viongozi wa CHADEMA chini ya Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dr. Wilbroad Slaa walitangaza mpango wa Tanzania kuongozwa katika Mfumo wa Majimbo. Katika nadharia yao...
7 Reactions
703 Replies
44K Views
Polisi Zanzibar waambiwa kuwa mtu waliyemkamata hausiani na mauaji ya Padri Mushi hivyo wanatakiwa kumsaka mtu aliyehusika na tukio hilo la mauaji, taarifa hizi zimekuja mara tu baada ya mtu huyo...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Tumeshuhudia wengi wakilia na wengi wakitoa pole. Tumepatwa na uchungu wote kwa uzembe uliotokea ukianzia kwa wajenzi, watoa vibali wakaguzi mainjinia, wachoraji nk. Ajali hii ni uthibitisho wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau, Heshima kwenu, Nimefikiria sana juu ya hali na upepo huu wa udini na maswala mengine nyeti sana juu ya mustakabali wa Amani yetu, Uchumi wetu na Ustaarabu wetu sisi kama Taifa kwa ujumla...
2 Reactions
48 Replies
4K Views
baadhi ya wananchi katika maeneo mbalimbali ya mji wa zanzibar wameulalamikia mchakato wa kuwapata wajumbe watatu watakaoingia katika mkutano wa kujadili katiba mpya ngazi ya shehia. baadhi ya...
0 Reactions
0 Replies
890 Views
Kesi ya tuhuma za ugaidi inayomkabili Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilfred Lwakatare na Ludovick Joseph, jana ilitajwa katika Mahakama ya Hakimu...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yuko tayari kuandika historia ya Tanzania kwa kuwa Rais wa Kwanza kukabidhi madaraka kwa chama cha upinzani? Jibu ni hapana kwa sababu...
1 Reactions
60 Replies
6K Views
Back
Top Bottom