babalao 2
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,426
- 3,309
SALAMU KWA WANA JUKWAA.
Kwa kila Raia mwenye akili timamu kwa sasa anajua au kuona ni kwa jinsi gani mambo hapa nchini yanaenda.
Tunaweza sasa kusema CCM imekosa
uhalali wa kuongoza nchi.
Hii inanikumbusha kauli ya BABA WA TAIFA Mwalimu
Nyerere alivyosema Machi
15, 1995. Nanukuu: "Mtu
akishakuwa amefilisika sera
kichwani, atatafuta uhalali wa kongoza kwa mbinu zisizostahili.
Atajihalalisha kwa ukabila,
Atajihalalisha kwa udini,
Atajihalalisha kwa mkoa.
Hawa ni watu waliofilisika
SERA kichwani".
Hii nukuu kwa leo imetimia Kwani matukio hayo ndiyo yanatumiwa kuongoza nchi.
Wapo wengine hudiriki kujitokeza hadharani na Kumshinikiza Msajili wa vyama kufuta baadhi ya vyama huku wengine wakiwatengenezea wenzao kesi mbaya za kigaidi ili tu waweze kutawala.
Tumeshuhudia Waandishi kumwagiwa tindikali na wengine kupigwa na kuumizwa vibaya bila sababu ya msingi kuelezwa kwa jamii.
Hii yote ni kukosa au Kufilisika SERA NZURI KICHWANI hii yote ni kujaribu kuziba watu midomo.
Njia nzuri ya kuongoza ni kutekeleza sera kwa umakini na wananchi watachambua jema na baya.
NAOMBA TUFANYE SIASA ZA MAENDELEO NA SI SIASA ZA MAJITAKA AMA MUFILISI KWANI TUNAWEZA TUMBUKIA TUSIPOTARAJIA.
Nawasilisha.