Kama vile naanza kukata tamaa na CHADEMA

Avanti

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2010
Posts
1,209
Reaction score
240
Mwanzoni nilikuwa na matumaini makubwa sana na CHADEMA, hadi kufikia mwaka 2010 nikawapigia kura akiwepo Mnyika ilihali nikiwa bado na kadi ya CCM. Nilifikiri mwaka huu labda ningejiunga kabisa CHADEMA na kuifanya iwe na kura yangu ya kudumu.

Kadri siku zinavyoenda naanza kuwaona si HACEDAM si CCM, wote ni wale wale - tena tunaweza kuwaita ni wao na sisi ni sisi. CHADEMA hakina tofauti tena na CCM, na tena inaelekea kubaya zaidi.

Ndani ya CHADEMA huwezi kukwepa mambo ya ufisadi, yapo. Mambo ya ugaidi, udini na ukanda nao unaonekana kushamiri.

Nimechoshwa zaidi na mipango ya matukio ya kuwafanyizia watu (Zitto kulishwa sumu, Msack sijui, Kibanda naye sijui..) haya yote nayaona kama sio mema na yanaanza kuniaminisha kuwa hata Wangwe mtani wangu haikuwa hivi hivi tu! Kumekuwa na kujaribu kujikosha kwingi, sijui Saanane, sijui Zitto, sijui Mnyika, wote hawa wamekuwa sawa na Mwigulu, Ze Mutu na Nape kwa sababu sijaona cha maana wanasema humu JF zaidi ya kujitetea tetea tu kila mara.

Dr Slaa naye akiibuka ndiyo huwa ananichanganya kabisa, ingawa yeye ana kaunafuu fulani. Siku hizi hata ile gwanda yangu ninasita kuivaa, sababu naanza kuhusishwa na ugaidi hata kama sijawahi kuufanya, juzi juzi niliwaona CHADEMA pale Ubungo Plaza wamevaa magwanda nilishtuka kidogo nikimbie, sijui kwa nini nimeanza kupata hofu na magwanda haya.
 
Una uhakika wewe ni Mwanachadema?Je post zako zilizopita hapa JF zinaweza kuku-define?

CHADEMA siyo Combat tu,Ile ni falsafa.Ungekua mwanachadema wa kweli ungetafuta ukweli kwa tafiti badala ya kukurupuka.Hizi sio sifa za wanachadema

Kuwa makini na uwe mkweli
 
We kata tamaa na ikibidi kula kona tu utuachie chama chetu salama. Maana nyie wa hivi hamkawii kuleta miujiza kwenye chama kama wale wenzenu.Am labda unajipa uanachama.
 
Mwanzoni nilikuwa na matumaini makubwa sana na CDM, hadi kufikia mwaka 2010 nikawapigia kura akiwepo Mnyika ilihali nikiwa bado na kadi ya CCM. Nilifikiri mwaka huu labda ningejiunga kabisa CDM na kuifanya iwe na kura yangu ya kudumu. Kadri siku zinavyoenda naanza kuwaona si CDM si CCM, wote ni wale wale - tena tunaweza kuwaita ni wao na sisi ni sisi. CDM hakina tofauti tena na CCM, na tena inaelekea kubaya zaidi. Ndani ya CDM huwezi kukwepa mambo ya ufisadi, yapo. Mambo ya ugaidi, udini na ukanda nao unaonekana kushamiri. Nimechoshwa zaidi na mipango ya matukio ya kuwafanyizia watu (Zito kulishwa sumu, Msack sijui, Kibanda naye sijui..) haya yote nayaona kama sio mema na yanaanza kuniaminisha kuwa hata Wangwe mtani wangu haikuwa hivi hivi tu! Kumekuwa na kujaribu kujikosha kwingi, sijui Saanane, sijui Zitto, sijui Mnyika, wote hawa wamekuwa sawa na Mwigulu, Ze Mutu na Nape kwa sababu sijaona cha maana wanasema humu JF zaidi ya kujitetea tetea tu kila mara. Dr Slaa naye akiibuka ndiyo huwa ananichanganya kabisa, ingawa yeye ana kaunafuu fulani. Siku hizi hata ile gwanda yangu ninasita kuivaa, sababu naanza kuhusishwa na ugaidi hata kama sijawahi kuufanya, juzi juzi niliwaona CDM pale Ubungo Plaza wamevaa magwanda nilishtuka kidogo nikimbie, sijui kwa nini nimeanza kupata hofu na magwanda haya.

Hujatafakari na hujatuia mbongo yako, huo ubongo sio wako, please be you.
 
Ukikata kwa ajili ya CHADEMA basi wewe UMEVIMBIWA na UFISADI wa CCM.
 
Mwanzoni nilikuwa na matumaini makubwa sana na CHADEMA, hadi kufikia mwaka 2010 nikawapigia kura akiwepo Mnyika ilihali nikiwa bado na kadi ya CCM. Nilifikiri mwaka huu labda ningejiunga kabisa CHADEMA na kuifanya iwe na kura yangu ya kudumu.

Kadri siku zinavyoenda naanza kuwaona si HACEDAM si CCM, wote ni wale wale - tena tunaweza kuwaita ni wao na sisi ni sisi. CHADEMA hakina tofauti tena na CCM, na tena inaelekea kubaya zaidi.

Ndani ya CHADEMA huwezi kukwepa mambo ya ufisadi, yapo. Mambo ya ugaidi, udini na ukanda nao unaonekana kushamiri.

Nimechoshwa zaidi na mipango ya matukio ya kuwafanyizia watu (Zitto kulishwa sumu, Msack sijui, Kibanda naye sijui..) haya yote nayaona kama sio mema na yanaanza kuniaminisha kuwa hata Wangwe mtani wangu haikuwa hivi hivi tu! Kumekuwa na kujaribu kujikosha kwingi, sijui Saanane, sijui Zitto, sijui Mnyika, wote hawa wamekuwa sawa na Mwigulu, Ze Mutu na Nape kwa sababu sijaona cha maana wanasema humu JF zaidi ya kujitetea tetea tu kila mara.

Dr Slaa naye akiibuka ndiyo huwa ananichanganya kabisa, ingawa yeye ana kaunafuu fulani. Siku hizi hata ile gwanda yangu ninasita kuivaa, sababu naanza kuhusishwa na ugaidi hata kama sijawahi kuufanya, juzi juzi niliwaona CHADEMA pale Ubungo Plaza wamevaa magwanda nilishtuka kidogo nikimbie, sijui kwa nini nimeanza kupata hofu na magwanda haya.

Wahi lumumba kupata posho thread umeishaanzisha
 
Nipe stori za lumumba nasikia leo kilinuka nusura mpigiane chupa za konyagi?

Haya maelezo peleka kwa mke wako mjadiliane
 
Mbona unatia aibu....huna uzalendo...wewe unafaa kuuawa kama ungekuwa jeshini....Kuna haja ya vijana kupita JKT.
Always watu wepesi kukata tamaa huwa sio wa kuishi nao...
Hata biblia hum-define mtu mwenye hofu ni asiye na upendo....kwa mke,chama,taifa n.k....
Mzalendo wa kweli harudi nyuma wala habwagi manyanga....
 
Gamba litakuwa limevurugwa hili, tena wewe c ndiyo unakalia kigogo kwa nyuma??
 
Mwanadam aliekamilika hakati tamaa,na kukata tamaa ni dhambi matatizo ni sehemu ya maisha,hakuna mafanikio ya bwelele ili ufanikiwe lazima kuwe na vizingi kibao,kama (kudhurumiwa,kusingiziwa,hata kunusurika kuuwawa)yote haya yanasababu zake katika maisha,
CDM for LIFE.
 
katika mapambano haya; wapo watakaokata tamaa, kama wewe wapo watakaosaliti kama shosti shonza na wenzie, wapo watakaokufa(r.i.p fallen heroes) ,wapo watakaofungwa, wapo watakaofilisika, aluta continua-mapambano yanaendelea.
 
Una uhakika wewe ni Mwanachadema?Je post zako zilizopita hapa JF zinaweza kuku-define?

CHADEMA siyo Combat tu,Ile ni falsafa.Ungekua mwanachadema wa kweli ungetafuta ukweli kwa tafiti badala ya kukurupuka.Hizi sio sifa za wanachadema

Kuwa makini na uwe mkweli

Kwa lugha ya haraka haraka tunaweza sema umekurupuka, msome vizuri, kasema yeye ni mwana CCM aliyetaka kuhamia CDM lakini anakatishwa tamaa na mwenendo wa sasa wa chama kuhusu migogoro ya ndani etc.

Anyway, ni walewaleeeee!
 
ww mtoa mada utakua umekula hii kitu

images
 
we mbulula kweli, unakata tamaa hata kabla ya picha kuanza, kama vipi hama nchi, waachie wanaharakati walete mabadiliko, jiulize wewe umefanya nini kuikomboa nchi yako si kuwa kifuata upepo! nkt
 
Back
Top Bottom