Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nilishangaa kuona ghafla tu Mpina anapingana na mwenyekiti wake na hatekwi hafukuzwi wala kutishiwa maisha kama wengine!!! Utamaduni wa CCM na tabia za "huyu wa sasa" tunazijua sana, hakuna ambaye...
10 Reactions
108 Replies
4K Views
"Upande wa Jamhuri umeshapeleka taarifa Mahakama Kuu, kwa maana ya kufaili taarifa, kwa mujibu wa kifungu cha 262(6), na taarifa hiyo imepokelewa na kusajiliwa kwa namba Criminal Session...
0 Reactions
1 Replies
586 Views
Profesa Mruma amepata pigo kubwa sana kwa umri wake; waliomtuma huko Duniani wamedhamiria adhalilishwe na lengo limetimia . Anaulizwa kwa fedheha " haya ndiyo unawafundisha wanafunzi wako wa UDSM...
48 Reactions
533 Replies
64K Views
Walipanda mashamba katikati ya jangwa, lakini chemchemi ikazibwa kwa mawe ya mamlaka. Barabara yao ya mbele ilijaa mashimo yaliyotengenezwa kwa makusudi, nyuma yao daraja lilivunjwa kabla...
0 Reactions
0 Replies
165 Views
Mgombea urais kupitia Chama cha Democratic Party (DP), Abdul Mluya, amesema kuwa endapo atapewa ridhaa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kugombea nafasi hiyo, kipaumbele chake cha kwanza...
0 Reactions
0 Replies
234 Views
Tanzania tukiiga mfumo wa Mahakama za Kenya tutawasaidia sana mawakili wetu kuonekana duniani na kupata tenda za kisheria za kimataifa Mawakili wa Tanzania hawa akina Mwabukusi hawajulikani...
1 Reactions
3 Replies
247 Views
Katika haya mawili. Moja ni sahihi. 1. CCM haina au haitumii washauri wenye akili imeamua kuongozwa na wasio au wenye akili ndogo. 2. CCM imegundua watanzania wengi hawana either au hawatumii akili
8 Reactions
7 Replies
710 Views
Anaandika Afande sele ,✍. Eti chama chake "magirini" kimempitisha tena kuwa mgombea urais mwaka huu2025...😳 Hii ni kudhalilisha siasa sio za upinzani tu,ila siasa za nchi na bara zima la Afrika...
9 Reactions
44 Replies
4K Views
Baada ya mafanikio makubwa kwenye Harambee ya CCM pale Mlimani City jana ni wazi Mjumbe wa Tume ya Warioba ndugu Polepole alilala na viatu jana. Tutegemee Press ya ghafla Ahsanteni sana 😄✔️
3 Reactions
23 Replies
925 Views
Fikiria tu Harambee ya jana hadi Yanga wamo Achilia mbali Wawekezaji wa awamu yake ambao ndio wameibuka videdea kwenye changisho JK ana uwezo wa kufunga magoli ya dakika za majeruhi kama Yule...
5 Reactions
8 Replies
549 Views
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Democratic Party (DP), Abdul Juma Mluya, akiambatana na Mgombea wake mwenza Sadoun Abrahman Khatib, leo Agosti 13, 2025...
0 Reactions
2 Replies
334 Views
MFANYABIASHARA MAARUFU MOHAMMED DEWJI APATIKANA AKIWA HAI Amepatikana akiwa ametelekezwa kwenye viwanja vya Gymkhana Baada ya kutekwa, Gari la watekaji liliendeshwa kwa kasi sana na kwenda...
46 Reactions
2K Replies
252K Views
HAPA NDIPO TULIPOFIKA KWA SASA Simply put, the bourgeoisie is the oppressive class, which Karl Marx argued would be destroyed in the workers' revolution. Specifically, the bourgeoisie was the...
6 Reactions
12 Replies
658 Views
Kwa mujibu wa sheria za gharama za uchaguzi Mgombea Urais anapaswa kutumia kiasi kisichozidi bilioni 25 katika kampeni zake. Bilioni 100 ni mara nne ya kiasi elekezi. Isitoshe wagombea wengi wa...
2 Reactions
10 Replies
501 Views
Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zimekumbushwa kuwa ukombozi wa kiuchumi ni safari ndefu na ili kuifikia nchi hizo zinahitaji mtangamano wenye nguvu na usioyumbishwa katika...
0 Reactions
0 Replies
228 Views
Ukicheki CCM inavyoendesha hii nchi asilimia zaidi ya 90% ni mfumo wa kijamaa hasa ikijiegemeza sana na kukopi CCP ya China. Mara nyingi CCM imekuwa ikiwapiga change la macho mabepari kwa...
8 Reactions
17 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu, CCM ndio chama kilichobeba matumaini ya watanzania,ndio chama chenye uchungu na Maisha ya watanzania,ndio daktari wa matatizo...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Common sense dictates that. Kama unawahofia mashahidi usalama wao, utamtoaje Judge au hakimu anayeendesha na kutoa uamuzi wa KUUA/KUNYONGWA asidhuliwe? Nidhahiri lengo ni mashaidi wa uongo ndio...
2 Reactions
6 Replies
547 Views
Wakili Msomi Maduhu William Mchambuzi wa masuala ya Siasa akizungumza katika kipindi cha Sentro Clouds TV ameeleza kuhusiana na Vyama pinzani kushindana na Chama cha Mapinduzi CCM inahitaji...
0 Reactions
0 Replies
204 Views
CCM ndiyo chama chenye Serikali. Uovu wote unaofanyika dhidi wananchi, kama vile utekaji na mauaji ya wakosoaji wa Serikali na Rais, uporwaji wa rasilimali za Tanganyika, vyote hivyo vimeridhiwa...
18 Reactions
33 Replies
1K Views
Back
Top Bottom