Nimefurahishwa na msimamo wa Kagasheki na nataka kutumia nafasi huu kumuunga mkono kwa ufafanuzi alioutoa kuhusu suala la Loliondo.
Najikita zaidi katika kuifahamisha jamii ya wafugaji wa Kimasai na nitatumia kauli ya Kiswahili ya ‘Kwa mwali kunaliwa lakini na kwa somo pia"
Jamii ya wafugaji wa kimasai imekuwa ikijihesabu kuwa inaonewa na inabaguliwa ingawa mila na desturi zao ndizo ambazo ziliwafanya wawe pembeni kidogo.
Tangu jamii hii ilipoanza kuchanganyika na jamii nyingine mabadiliko makubwa yameonekana na hata kufikia makabila mengine kuoa au kuolewa ndani ya jamii hii.
Inasikitisha jamii inaposimama na kudai ardhi hiyo kwa kuwa tu waliishi hapo tangu 1920!!!
Leo hii ndani ya Tanzania jamii ya Kimasai imetapakaa kote nchini kama wachungaji wakikandamiza na kutia umaskini jamii zingine na kwa bahati mbaya sana wakitumia ukwasi wao na rushwa katika serikali kuendeleza ubabe wao,nitatoa mifano.
Wilaya ya Kilosa ni wilaya ya wakulima zaidi hasa upande wa mashariki ambapo watu wamo katika Mkata plain,bonde lilioanzia huko Kilombero likaelekaea kaskazini mpaka Uziguani. Katika eneo hili hakuna asili ya wafugaji wa Kimasai lakini mpaka kufikia wakati huu wamechukua na kuanzisha vijij vya wafugaji na kuwa deprive wenyeji maeneo yao.
Kuna vijiji zaidi ya vitatu katika Kilosa ambavyo ni solely kwa wafugaji wa kimasai ambao kwa asili yao si wenyeji wa hapa. Kila wanachi wenyeji wanapofurukuta jibu ni kuwa katika Tanzania kila mtu ana haki ya kuhamia mahali almradi havunji sheria!!!
Ujio wa wafugaji hawa umesababisha Kilosa kukumbwa na njaa kwani mazao kama mihogo huwezi kulima tena kwani unapovuna mahindi tu wafugaji wapo nyuma na mifugo na hawabakishi kitu.
Katika wilaya ya Handeni na Kilindi napo ni bomu linasubiri kulipuka,kasi ya kumiliki ardhi kwa jamii hii kunaashiria dalili za uvunjifu wa amani katika kipindi kifupi kijacho.
Kwa hiyo,kama ambavyo wao wanamiliki ardhi katika maeneo ambayo si yao basi watulie wakati watu wengine wanamilikwishwa ardhi yao,kwani ardhi ni mali ya RAIS!!!!!!!