Kutakuwa na uchaguzi mdogo wa madiwani watano wale waliofukuzwa na CHADEMA,uchaguzi utaitishwa hivi karibuni,CCM wamejipanga kuhakikisha wanaendelea kumiliki manspaa ya arusha,watatumia mbinu hizi,
1 kununua wagombea wa CHADEMA wajitoe dakika za mwisho,
2 kupandikiza mamluki ndani ya CHADEMA,
3 kuteka wagombea wa CHADEMA ili wasirudishe siku ya mwisho.
CCM wanaitaji madiwani wawili tu ili waendelee kumiliki manspaa, lakini kama CHADEMA itashinda viti vyote 5 basi wanaweza kumtoa meya na uchaguzi huo ukafanyika ili kumpata meya mwingine.