Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna taarifa kuwa mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa CHADEMA WILFRED MUGANYIZI LWAKATARE atafikishwa tena mahakamani kesho Jumatano kwa ajili ya maamuzi kuhusiana na kufutwa kwa mashtaka yake au...
1 Reactions
73 Replies
8K Views
Je mnaridhika na wabunge kwamba wanachanigia bajeti kweli? Au kila mmoja anasema lake? Nimeangalia kipindi cha Bunge kwa saa Moja mfululizo lakini sikuone Mbunge hata mmoja Ananukuu bajeti ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Juzi hapa Mabere marando ametoa namba za simu za watu ambao anawatuhumu kuhusika na ugaidi na katika namba hizo iko ya Mheshimiwa Zitto ambaye ni kiongozi wa ngazi za juu wa chadema. Zitto naye...
5 Reactions
124 Replies
9K Views
Kati ya mambo yaliyokera kwa jamii ya kitanzania wiki hii ni hili la wabunge wetu kumwaga matusi hadharani na huku TV na Redio ziki amplify matusi yao dunia nzima. Suala hili lilivaliwa bango na...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wana JF. Kwa kweli unaweza usiamini ninachokieleza hapa, lakini ni cha kweli na hakina chembe ya uongo. Baadhi ya Polisi ambao walitakiwa kulinda mkutano wa uzinduzi wa M4C walikuwa wanafanya...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Akiongea kwa uchungu Spika wa Bunge Mama Anne Makinda amewashambulia wabunge wanaovaa suti baadae wanatukana matusi ambayo yeye ameshindwa kuyataja kutokana na mdomo wake hauwezi kutamka hayo...
1 Reactions
118 Replies
15K Views
Kesi ya Lwakatare imepelekwa chamber court ambako wameingia watu 15 tu, waandishi wamezuiwa kuingia. Kesi ina public interest inapelekwa chamber court...
17 Reactions
339 Replies
41K Views
CHADEMA, GDSS wapinga mchakato mabaraza ya Katiba na Abdallah Khamis, Na Bungeni Jana WASHIRIKI wa jukwaa la wazi la semina za jinsia na maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na Mtandao wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau kuna taarifa ambazo sijazithibitisha (naziita tetesi kwa sasa) zimenifikia kwamba viongozi wa jukwaa la katiba waliotoa taarifa ya kutishiwa kuuawa wanasakwa na jeshi la polisi ili...
2 Reactions
117 Replies
11K Views
Pinda atembelea eneo la tukio Waziri Mkuu Mizengo Pinda alifika eneo hilo saa 3:41 asubuhi, kujionea hali ilivyo, lakini hakutoa tamko lolote. “Sina la kusema,” alisema Waziri Mkuu alipoulizwa na...
0 Reactions
93 Replies
9K Views
Mwenyekiti wa Umoja huo adaiwa alishawahi kuugua ugonjwa wa akili(Kichaa)Yeye mwenyewe aling'aka na kusema kuwa hajawahi kuugua ugonjwa wa akili (kichaa) kama anavyozushiwa na wapinzani...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Joshua Nassari(CHADEMA) amemjibu Mwigulu(CCM) juu ya madai yake kwamba hotuba ya kambi ya upinzani imejaa malalamiko badala ya hoja. Akijibu hoja hiyo, Nassari amesema lazima kambi ya upinzani...
16 Reactions
90 Replies
14K Views
RAIS ajaye mwaka 2015 atakuwa nawakati mgumu wa kulipa madeni makubwa ya taifa atakayorithi kutoka kwa serikali ya Rais Jakaya Kikwete, Tanzania Daima Jumatano limebaini. Kwa mujibu wa taarifa ya...
0 Reactions
0 Replies
975 Views
Mnajua kwa nini Mkaguzi mkuu wa mahesabu Ndugu Ludovick Utouh kaficha ripoti za ukaguzi za TANESCO na NHC ?
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa wale Wakazi wa Mtoni Kijichi nafikiri watakubaliana na mimi kuwa tangu kufungwa kwa barabara kutoka Mbagala Misheni hadi Kijichi yapata Wiki mbili na mpaka sasa hivi Hakuna kazi inayoendelea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana JF, Imekuwa ni kawaida Serikali kutenga kiasi kikubwa cha pesa kwenye bajeti ili kuuridhisha umma kuhusiana na maswala ya maendeleo.Mfano, mwaka jana Serikali ilitenga kiasi flani cha...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Dar es Salaam. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh amemuweka kitanzini aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), William Mhando, baada ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HIVI ni kweli kwamba Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inakerwa na kufikirishwa na umaskini wa Watanzania kuliko inavyokosa usingizi kutafuta mbinu za kuusambaratisha upinzani? Sina jibu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naanza na kuwashukuru wale wote wanaoitakia nchi yetu Amani! Kwakweli lazima tuseme ukweli sasa niwakati wa kuandaa Mabaraza ya Katiba yawe ya kujumuisha wanasiasa wote na viongozi wote wa vyama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katibu mkuu wa ccm ndg Abrahamani kinana na katibu mwenezi Nape Nnauye wapo hapa ifakara kwenye viwanja vya makari stend. Mkutano wao unarushwa live na radio Pambazuko fm. Wapo hapa wakitokea...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Back
Top Bottom