Makada wawili wa CHADEMA wamekamatwa na dola huko Mwanza, walikuwa kwenye gari la M4C.
Source: MAGAZETI YA LEO
TUKIJIKUMBUSHA HUKO NYUMA Diwani wa chadema aliwahi Kamatwa na SMG Tarime,Mwingine...
Kwa wale wenye kumbukumbu nzuri watakumbuka kuwa mnamo tarehe 27 february 2013, BAVICHA walitangaza mchakato wa kutafuta Nembo yao.Tangazo lao lilikuwa limewekwa hapa jukwaani na mdau mmoja likiwa...
Imekuwa kawaida ya Chadema kuwahamasisha wanachama wake/wananchi katika mambo mbali mbali kuhusu kushinikiza watendaji/Serikali kuwajibika. Wanachama/wananchi wanakuwa na shauku kubwa ya kushiriki...
RAMSON RUTIGINGA mwenye umri wa miaka 33 ya kuzaliwa, na mzaliwa wa Wilaya ya Serengeti Mkoani Mara, ameweka wazi dhamira yake ya kutaka kugombea ubunge katika Jimbo la Serengeti mkoa wa Mara...
Ndugu zangu wana jamvi siku hizi katika siasa za Tanzania kumekuwa natabia ya ajabu sana ya kuzusha au kufitini ili kuwagombanisha wana chama wa chama kimoja ili tu wewe unae fitinisha ufikie...
Kwa maslai ya taifa bunge limekosa adhi ya kuendelea kuwapoa hadi kufikia atua hii tuliyonayo sasa. Kwanza kabisa Mweshmiwa waziri mkuu astaili kuendelea kuwapo na wadhifa wake wa uwaziri mkuu...
Ndugu waandishi wa habari;
Pili, nitakwenda mahakamani kuwasilisha ombi maalum la kuomba amri ya mahakama kuagiza makampuni ya simu za mkononi kuwasilisha mahakamani statement za simu za watu...
ANAENDELEA KUJIBU HOJA BUNGENI NA KUDAI TANZANIA INASIFIKA DUNIANI KOTE KUWA NI MIONGONI MWANCI ZENYE UCHUMI MZURI SANA DUNIANI.
MAY Take: If you have no dream, you cannot have a dream come...
ZIARA YA SUZANA KIWANGA WILAYA YA KILOMBERO
MBUNGE Viti Maalumu, Susan Kiwanga (CHADEMA), na ujumbe wa benki ya NMB Kanda ya Mashariki, wamenusurika kuvamiwa na watu wanne wanaosadikiwa kuwa...
WanaCCM wa Ifakara mjini ‘wamemshtaki' Katibu Mkuu wa zamani wa CCM, Yusuph Makamba kwa Katibu Mkuu wa sasa wa chama hicho, Abdulrahman Kinana kwa ahadi yake aliyoitoa 2008 ya kuwapatia Sh1...
katika bunge linaloendelea hvi sasa,tumeendelea kushuhudia uvunjaji wa kanuni na taratibu za bunge, bunge limekuwa kama kilabu cha pombe,chochote atakachojisikia kuropoka anaropoka...inafikia...
Kutokana na Maelezo ambayo umekuwa ukiyaeleza katika vyombo vya Habari umekuwa ukiwalaumu wabunge waupinzani kuwa hawana heshima!je kwa hili la Juma Nkhamia umeshindwa kuchukua hatua??
Waheshimiwa Wabunge na hasa Wabunge Wazalendo,
Salaam na poleni na majukumu ya kujenga taifa letu.
UTANGULIZI:
Kama kichwa cha habari hii kinavyosomeka, leo hii nimeamua kuwaeleza japo kwa...
Jana nimemwanagalia muda wote Mh Pinda akifunga mjadala wa hotuba yake bungeni, alichukua zaidi ya saa moja kujibu kwa ubabaishaji na uongo hoja za Mbowe! Alikuwa hajiamini na mara nyingi alikiri...
Tuesday, 16 April 2013 14:28
Ophir's drillship Odfjell Metro-1. The company has raised a further $832million for further exploration activities in Tanzania. PHOTO | FILE
By The Citizen...
HAWA VIONGOZI NI JANGA LA KITAIFA
MH Waziri Mkuu ni mmojawapo kati ya Viongozi ambao ni JANGA LA KITAIFA AKIWEPO NA KIONGOZI MWINGINE MKUU. Mh Pinda amekuwa Waziri mkuu aisye na meno, asiye na...
Mwigizaji anayependwa sana na mwenye mwili wa kipekee kwenye bongo movies Jacob Steven, ama JB kama anyofahamika kwa wapenzi wake, ameongea na bongomovies.com na kuelezea mpango wake wa kugombea...
Ndg wanajamvi, kwanza kabisa sina lengo la kuingilia uhuru wa mahakama ila tu napenda kunyesha ni jinsi gani kwa siku za hivi karibuni serikali imekuwa na kiwewe cha kujihami kwa kutumia nguvu...
KIONGOZI CCM KIBAHA AHUSISHWA NA VITENDO VYA USHOGA, AKANA ASEMA NI NJAMA ZA KUMCHAFUA KISIASA
Katibu wa uchumi, malezi na mazingira wa chama cha mapinduzi Kata ya Mailimoja BW. LAZARO KULIGWA...
Member of Parliament CV
GENERAL
Salutation
Honourable
Member picture
First Name:
Edward
Middle Name:
Ngoyai
Last Name:
Lowassa
Member Type:
Constituency Member...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.