masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,954
- 15,252
Kati ya mambo yaliyokera kwa jamii ya kitanzania wiki hii ni hili la wabunge wetu kumwaga matusi hadharani na huku TV na Redio ziki amplify matusi yao dunia nzima.
Suala hili lilivaliwa bango na hata BBC hivi majuzi , kabla Spika hajaamka na kuwazuia kujidhalilisha hadaharani.
Kwetu sisi walipa kodi hili la spika halitoshi, lazima Wabunge waliotumwa na wapiga kura wao kumwaga matusi Bungeni wajulikane, tena kwa majina na picha zao.
Mimi ni mwana CCM lakini nimekerwa sana na Mbunge aliyesema HAOENGEI NA MBWA BALI ANAONGEA NA MWENYE MBWA, akimaanisha Mbunge toka Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi,Mr Sugu.
Hayo yalisemwa na Juma Nkamia Mbunge wa Kondoa Kusini.

Najua wabunge wengune wameporomosha matusi Bungeni, naomba wadau bila kuendekeza vyama vyetu tuwataje hadharani ili tabia hii ikome.