Joshua Nassari amjibu Mwigulu Nchemba

Joshua Nassari amjibu Mwigulu Nchemba

TRANQUILITIST

Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
84
Reaction score
35
Joshua Nassari(CHADEMA) amemjibu Mwigulu(CCM) juu ya madai yake kwamba hotuba ya kambi ya upinzani imejaa malalamiko badala ya hoja.

Akijibu hoja hiyo, Nassari amesema lazima kambi ya upinzani ilalamike kwa sababu CCM imeshindwa kutatua matatizo. Amesema kama viongozi wa serikali wamekuwa wakilalamika, iweje upinzani?

Katoa mifano ya watu wanaolalamika kama vile Rais analalamika kuombewa kuuawa na Waziri mkuu kudondosha machozi.
 
Joshua Nassari(chadema) amemjibu Mwigulu(ccm) juu ya madai yake kwamba hotuba ya kambi ya upinzani imejaa malalamiko badala ya hoja. Akijibu hoja hiyo, Nassari amesema lazima kambi ya upinzani ilalamike kwa sababu ccm imeshindwa kutatua matatizo. Amesema kama viongozi wa serikali wamekuwa wakilalamika, iweje upinzani? Katoa mifano ya watu wanaolalamika kama vile Rais analalamika kuombewa kuuawa na Waziri mkuu kudondosha machozi.

Nimeipenda hii, Pinda alilia acha kulalamiaka. Gooooood.
 
imekaa kimipasho zaidi.....anyway mwisho wa siku posho mfukon!
 
Hahahahahahahahaha
Joshua Nassari umetisha sana mbunge wangu! Rais alilamika kuwa anaombewa ili afe sembuze wapinzani? Wanatakiwa watimize majukumu yao hili wapinzani wasilalamike!
 
Last edited by a moderator:
Wakati kenya wakipanga kuwapatia laptops wanafunzi wote, sisi bado tz tunakimbiza mwenge wa uhuru kuzindua miradi binafsi kama car wash ya cet garden arusha. Hata miradi ya serikali ya kuzindua hakuna tena. Wakati wenzetu wameenda mwezini mwaka 1963, sisi mpaka leo tunakimbiza kibatari kwa mamilioni.
 
Bunge limegeuka piga nikupige! Ccm wakimwaga ugali chadema wanamwaga mboga na kuchangua mafiga!
 
1360259383_monkey_backside_grooming.gif
.......
 
Bunge limegeuka piga nikupige! Ccm wakimwaga ugali chadema wanamwaga mboga na kuchangua mafiga!

Kwanini wabunge wa chadema wasijitofautishe na waccm? Mimi nawashauri wajikite kujenga hoja na watumie lugha nzuri ili tunatofautiana na waccm. Yani wakitumia lugha hizi za hovyo bila kujikita kwenye hoja na solution ya bajeti tajwa, watashindwa kabisa kujinasua ktk mtego wa marumbano ambao ndo ccm wanautaka.
 
Lol...imekaa vibaya hii kwamba ni malalamiko solutio yake malalamiko?ha ha ha ha mtu kashikwa pabaya hapo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
imekaa kimipasho zaidi.....anyway mwisho wa siku posho mfukon!
..inakubalika kiongozi haya majamaa ukiyaachia yanajua sana kuwahadaa wananchi,so ukiyabana kila kona yanakosa pa kukimbilia...
 
Back
Top Bottom