Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mh Bernard Membe anatoka katika kijiji cha Rondo Chiponda Wilaya ya Lindi Vijijini. Katika harakati zake za kugombea Ubunge aliahidi kuwepo kwa Mahakama na Hospitali katika kijiji alichozaliwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika mwenendo wa siasa zetu zamtaani mpaka bungeni amkani si shwari tena. Mijadala mingi imejikita katika kutetea itikadi zavyama vyetu kuliko utaifa, hata bunge limejikita katika mdahalo...
0 Reactions
1 Replies
875 Views
Salaam, Kwa wale ambao wako maofisini na nje ya Afrika ya Mashariki wanaweza kusikiliza matukio mbalimbali ya uchaguzi Mkuu wa Kenya kwa kupitia Computer zao na simu tangu sasa na hata wakati wa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
• NI KUTOKANA NA DENI KUBWA LA TAIFA na Martin Malera , Dodoma RAIS ajaye mwaka 2015 atakuwa na wakati mgumu wa kulipa madeni makubwa ya taifa atakayorithi kutoka kwa serikali ya Rais Jakaya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mchungaji Peter Msigwa (Iringa Mjini), alitumia maneno ya Biblia kwa kusema kuwa mtu mpumbavu hastahili heshima. Alisema kupuuza mambo yaliyokuwamo katika hotuba ya Kiongozi wa Upinzani ni...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu. Nawaombeni sana tukiwa tunaendelea kujua na kusubiria mwisho wa ndugu yetu kiongozi wetu Lwakatare tusisahau yalio muhimu sana. Tunasubiria mikataba 19 iliyo siinia siku moja ili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Every country aspires to develop economically, socially, politically, technologically, culturally and in every other dimension of development that one can think about. But globalization has thrown...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Multichoice CNN African Journalist Awards Entry for 2013 FORM http://i.cdn.turner.com/cnn/WORLD/africa/africanawards/pdf/2013/2013-English-entry-form.pdf 2012 Winners and Finalists Tom Mboya...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Siku zote sisi wapenda mageuzi tumekuwa tukiuliza ni lini CHADEMA tutapata vituo vyetu vya Radio/TV, kwa ajili ya kutoa habari zetu na elimu kwa raia wema. Mpaka sasa hamjatuambia ni nini...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Siku chache baada ya viongozi wa Jukwaa la Katiba kutishia kuwapeleka mahakamani Tume ya Kuratibu Maoni ya Katiba kama hawatabadili muundo,utaratibu wa kuwapata wajumbe wa mabaraza ya katiba ya...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Ndicho alichosema punde. Waziri Mkuu hatambui umuhimu wa katiba kama mhimili mkubwa kwa maendeleo ya kiuchumi, kisiasa, kijamii na kiutamaduni. Hawezi kutumia muda wake mwingi bungeni kuzungumzia...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama ukiwa makini na unafuatilia vizuri siasa za Tanzania utagundua makosa mengi ya kiufundi na ambayo ni vigumu kwa Ccm kuyarekebisha au kwa ufupi hayarekebishiki kulekea 2015. Leo nitaeleza...
14 Reactions
78 Replies
8K Views
Jana ktk mkutano wa Kilosa-Moro katibu mkuu wa CCM na katibu mwenezi walizomewa na wananchi baada ya kushindwa kujibu maswali walioulizwa hali iliyomlazimu Kinana kufunga mkutano fasta na kueleke...
3 Reactions
62 Replies
8K Views
Katika mchango wake kwenye Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu siku chache zilizopita huko Dodoma, Mbunge wa Nyamagana kupitia CHADEMA (Mh. Ezekiel Wenje), alitumia neno ‘impotent' kufafanua...
7 Reactions
4 Replies
2K Views
nimeangali taarifa ya habari itv,watu waliojitokeza kuchaguliwa kwenye mchakato wa katiba kuulzwa kama ni CCM au CHADEMA kisha ndo wapitishe? hii inaleta picha gani wakuu?? mnadhan tutafanikiwa...
0 Reactions
0 Replies
742 Views
Waungwana jambo?. Inasikitisha sana kumsikia Waziri Mkuu kama Pinda anaonesha dhahiri kumlinda Waziri wa Elimu, Dk. Shukuru Kawambwa kwa matokeo ovyo ya wanafunzi mwaka jana. Huu ndiyo sasa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu Makamanda wote! Kwa wale mlio Dar es Salaam tunawakaribisha katika Kongamano kubwa la uzinduzi wa Kanda ya Dar es salaam linaloafanyikia ubungo Plaza katika Hotel ya Blue Pearl hapa...
31 Reactions
193 Replies
21K Views
Mwigulu Mchemba Naibu Katibu CCM Bara, Mbunge Jamhuri ya Muungano Tanzania Mwigulu Mchemba mhusika mkuu Movie ya Rwekatare Mwigulu Mchemba Mhusika Mkuu katika kashfa ya filamu inayodaiwa kuwa...
18 Reactions
374 Replies
35K Views
Ningependa kujua msimamo wa chadema juu ya wajumbe wa mabaraza ya katiba nchini. Nimesikia kuwa mabaraza haya ya katiba wilayani yataundwa na madiwani wa majimbo husika + wajumbe wengine wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
NAFIKR WAKATI UMEFIKA VYAMA VYA UPINZANI KUUNGANA PAMOJA NDO ITAKUWA KOLEO LA KUITOA CCM MADARAKANI NAONA KENYA WAMEFANIKIWA KWA 7B YA COALITION KWANN TANZANIA TUSIINGIZE KWENYE KATIBA...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Back
Top Bottom