Jazzie
Member
- Jan 30, 2008
- 73
- 35
Kwa jinsi hali inavyoendelea katika Bunge letu "tukufu" sasa hivi, ni dhahiri Mh. Samuel Sitta, kwa kuliongoza Bunge kwa kiwango ambacho kilipewa heshima, ameliua kabisa Chama Cha Mapinduzi. Inawezekana Wabunge na viongozi wengine wa CCM wanajiona kama ni "washindi" katika mfumo waliojiwekea wa kuleta vurugu ndani ya Bunge sasa hivi, lakini mkakati huo ni "shortsighted" kwa sababu unapwaya na ni wa kijinga.
Cha zaidi, unaonesha kwamba ndani ya CCM sasa hivi kuna wahuni, ambao hawana akili nzuri na uwezo wa kujenga hoja, kuleta mabadiliko, na kufanya chochote cha maana. Asante sana Mh. Sitta.
Cha zaidi, unaonesha kwamba ndani ya CCM sasa hivi kuna wahuni, ambao hawana akili nzuri na uwezo wa kujenga hoja, kuleta mabadiliko, na kufanya chochote cha maana. Asante sana Mh. Sitta.