Habarini wana jf,
Hakika miongoni mwa wananchi wa kuigwa na kupigiwa mfano ni wa jimbo la Singida Mashariki, wametuchagulia mbunge mzalendo, mwenye uelewa wa mambo na pia mwenye uchungu na taifa...
Ma ajabu mengine ya Serikali ya CCM,
Waziri Lukuvi alisema zile bilioni moja zimetengwa kwajili ya kunua eneo la hekta 129 zilizopo eneo la Iyumba mkoani Dodoma ili liwe linatumika kwa mazishi...
Mwasisi wa chadema mzee. mtei popote ulipo nakuomba uchukuwe hatua ya kukemea na kuwakataza WABUNGE WA CHADEMA kuleta fujo ktk bunge hakutusaidi na badala yake wawatumikie wananchi kwa kujenga...
Ndugu zangu,napenda kujuzwa kama ilishawahi kutokea hapa duniani serikali kutenga mamilioni kwa ajili ya mazishi,na kutenga mamia ya ekari maalum kwa kuzika viongozi,ni nchi gani nyingine duniani...
Mamlaka ya mawasiliano nchini TCRA imetangaza mgogoro na wale wote ambao watabainika kujaribu kutumia ama kuuza namba ya simu ikiwa hazijasajiliwa .
Source ITV
Natumaini wataenda mbali...
Nimekaa hapa nasikiliza kikao cha Bunge ikikaa kama Kamati ikipitia bajeti mojawapo vifungu baada ya vifungu na kuvipitisha (kimsingi ndio wanapitisha bajeti yenyewe hasa). Sasa, kuna vifungu...
Tunachoshuhudia Bungeni siyo demokrasia kazini, bali domoghasia kazini. Ninalaani vikali udhaifu wa Bunge (Spika na Naibu wake), upendeleo, na lugha za kihuni za baadhi ya wabunge (wa vyama...
Wanajamvi
Wageni waalikwa Mwanaharakati Marcus na Ndugu Rodrick wa haki za binadamu. Wameonyesha wasiwasi wao kwa wanaongoza bunge kwani wamefafanua kanuni ziko wazi na kwanini wabunge...
Arusha black list ndio wanashughulikiwa sasa.....jk alikuja akafanya mazoezi asubu tena kwa miguu....
Unajua sababu ya jk kuja kufanya jog kwa miguu arusha mnaijua?
Tena akiwa ameongozana na...
Najua kanuni,mwongozo,waraka au sheria ndogo haiwezi kuwa na elekezo lolote limalopingana na sheria mama.sheria inayoruhusu uwapo wa vyama vingi inatamka wabunge watachaguliwa kupitia vyama vya...
Huyu mama wa sasa na hawa wasaidizi wake duh wameshindwa kulimudu bunge kabisa. Wamekuwa washabiki wa upande mmoja badala ya kuwa viongozi wenye kutokuwa na upande wowote.
Nauliza hivi; hii kweli nihaki..?!!
Kuwatoa nje wabunge tuliowachagu ili waweze kutuwakilisha kule bunge. Alafu leo wanatolewa nje kwa misingi ya mtu binafsi na taasisi yake hii kweli nihaki? Je...
Nimekuwa nikijifikiria kwanini nchi za Africa uwachukulia vyama vya upinzani kama adui tofauti na nchi za magharibi. Mfano hapa Tanzania, NCCR Mageuzi ilivyokuja juu wakazimwa kwa ngivu ya...
By Ludger Kasumuni
The Citizen Reporter
Adopting Malaysia's development model is not the panacea for higher development to the level of middle income because the prerequisites do not exist in...
CCM wanaweza kufikiri maadui zao ni Wapinzani hasa CDM kumbe sio. Ilivo kwa sasa tannzania kuna matabaka mawli kimfumo yanayokinzana. tabaka la kwanza ni la wale wanaonufaika kimaisha na mfumo...
Nilifuatili kwa karibu Mh. Wasira akitoa utetezi wake ju ya ccm kupinga udini. Kwa kifupi naomba nimwambie CCM walikinadi chama cha CUF kuwa ni cha waislamu had kikakosa suport. Nakumbuka 2005...
Bwana Wasira amezungumzia TISS na ameipa sifa kibao, nakubaliana nae kuwa wanafanya kazi kwa siri, lakini tujiulize kuna siri ya wawili?
je? sifa alizowapa TISS, kuwa wanafanya kazi kwa weledi...
R.I.P,Look in the eyes of a homeless man, tell me what u see? In the eyes of a jobless man,tell me wht u see? Wht about the eyes of a prisoner,wht do u see? Now u've seen it all,it's time to make...
Mwigulu Nchemba amewataka watanzania wamuombee kwani ana siri kubwa moyoni,hawezi kuisema bungeni eti ataisema mahakamani!MBONA MPAKA SASA HAJAITWA POLISI KUHOJIWA,YEYE KISHAJIPELEKA MAHAKAMANI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.