jonaleemanson
Member
- Sep 21, 2010
- 73
- 70
Nimefuatilia kwa karibu miezi minne sasa namna ambavyo vyomba vya habari binafsi na hata vya serikali jinsi vinavyofanya kazi.hakuna asiejua kwamba mmiliki wa star tv na rfa ni mwenyekiti wa ccm mkoa wa mwanza ndugu dialo.kabla ya kuchaguliwa kwake star tv kilikua chombo cha habari makini na kwakweli watu walijenga imani nacho lakini tangu alipochagulia bwana dialo kuwa mwenyekiti tayari star tv haina radha tena na sasa inafanya kazi kwa niaba ya ccm na propaganda chafu. Tbc ni chomba cha serikali lakini kwa jinsi kinavyotumika kwa niaba ya ccm inatia hasira sana.jana wamekata matangazo ya bunge wakati wanajua wananchi wanaham yakujua wawakilishi wao wanafanya nn bungeni.