Hongera Lema tumeona ujasili wako bungeni

Hongera Lema tumeona ujasili wako bungeni

ZigiZaga

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2011
Posts
957
Reaction score
1,080
Sisi wapiga kula wako, jana umetudhihilishia kuwa wewe ni kidume kweli,fanya kazi,fanya tukichokutuma,fanya kama unavyofanya huku,na fanya kama ss wapiga kula wako tunavyofanya, zidi fanya kama wabunge wenzako wa CHADEMA na mtu kama Fillikunjombe anavyofanya.

Tuko nyuma yenu sisi watanzania, na tunawategemea sana mtutoe katika janga hili la unyanyaswaji.

God bless CHADEMA.
 
Back
Top Bottom