Rev.Kishoka
Platinum Member
- Mar 7, 2006
- 4,527
- 1,555
Mfumo Kikwete: Ni mfumo kabambe na mahsusi ambao umeelemea kujenga na kutetea maslahi ya tabaka dogo la watu walio kwenye madaraka au marafiki na walioko kwenye madaraka kwa kutumia rasilimali za umma na hata matumizi mabaya ya fedha, rushwa na ufisadi. Ni mfumo wa kibwanyenye na kinyonyaji ambao hautumii juhudi za uzalishaji mali na ubunifu kaztika kuzalisha mali, bali ni mkao wa kimjinimjini na kiujanjaujanja!
Mfumo wa kujijenga kimaslahi na kutetea kwa nguvu zote maamuzi mabovu yanayoliingizia Taifa deni na kutorosha Rasilimali kwa manufaa ya wadau wa Mfumo Kikwete!
Mfumo wa kujijenga kimaslahi na kutetea kwa nguvu zote maamuzi mabovu yanayoliingizia Taifa deni na kutorosha Rasilimali kwa manufaa ya wadau wa Mfumo Kikwete!