Wanaume wanapoongea, watoto wa kiume wakae kimya - Nchemba

Wanaume wanapoongea, watoto wa kiume wakae kimya - Nchemba

MZIMU

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
4,058
Reaction score
1,377
Dongo Hilo limepigwa kwa Mheshimiwa Mnyika, Ndani Ya Bunge sasa hivi.
Maskini Mwigulu Nchemba!

hivi huyu ndugu yetu hana jambo jengine la kuzungumza bungeni kwa sasa zaidi ya suala la Lwakatare; suala ambalo walikizungumzia watu wengine yeye anadai liko mahakamani!

Anamwambia Mnyika eti "Mtoto wa kiume akizungumza mnasikiliza" Sasa ina maana Nchemba haamini kama watu wanajua kwamba ni mwanaume au anamaanisha kwamba wenzake ni watoto wa kike au ni kufilisika kisiasa! Maskini msaidizi wa Kikwete!

Mh. Kikwete kuwa makini.
 
hana sera mbumbu wa maccm hyo
 
huyu ni tahira na nina wasi wasi ni mtoto wa nje ya ndoa, your time will come, na utajuta na kusaga meno, mpumbavu mkubwa
 
Waache waropoke tu, ipo siku!! Wanajiona wameshikilia mpini, wenzao jembe!! Kitaeleweka tu,
 
Hivi kati ya hawa ni yupi mpumbavu na yupi mwelevu?mtu mzima anaeongea vitu ambavyo havina uhalisia/havipo au mtoto anaeongea vitu vyenye facts/vilivyopo?
 
Lakini cha kushangaza spika kamwambia afute kauli na kafuta na kuendelea kuchangia! Angekuwa ni mpinzani nadhani angeitiwa police.
 
Shida Mwigulu hana akili anaona wanavyomshabikia anadhan na watu huku wanamshangialia kama hao wehu wenzake.
 
hapa ndo ninaposema spika na naibu spika wametumwa mahsusi kuharibu bunge hili!!!

what a disgrace to our nation?yani ccm wamekaa pale kwa woga-woga afu wanajiita wanaume +wanawake?
kwa uanaume gani kama wanashindwa kuwaadabisha wana-ccm wezao?

nidhamu ya woga ndo ugonjwa unaowala hawa mambumbumbu
 
Jamaa nchema hawezi kuongea au kujenga hoja bila kuingiza taarab.wanaume wengine sijui wameumbwaje,wanamambo ya kike kike tu,Real men stick to issues,huyu nchemba sijui kama ni mwanaume wa kweli,ana elements za kike kike sana
 
Sijui kwa spika matusi,pamoja na matusi ya Peter Serukamba,ni sawa kwake au ni kutia pamba masikioni?
 
Laana ya Uzinzi haitafutika kwa kuvunja amri ya Sita na matokeo yake tunayaona sasa
 
Back
Top Bottom