Katika hali isiyo ya kawaida, mimi nilikuwa BUKOBA Kiziba pamoja na Kyaka, Bunazi, Kilimilile pamoja na Mutukula mpakani mwa Tanzania na Uganda, ikumbukwe uwanja wa BUNAZI maarufu kama CHAKAZA...
Tume ya Uchaguzi yaibua utata Arusha
na Josephat Isango
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeibua mtafaruku mkubwa wa kisiasa mjini Arusha, baada ya kutangaza kata nne kufanya...
Kwa kweli viongozi wetu saivi ni mzigo, katiba iruhusu wananchi kuwapigia kura ya kutokuwa na imani endapo tutakusanya saini za watu zakutosha. It is too much rais, waziri mkuu pamoja na baraza la...
Eti wakati yeye mtoto wake wa MWISHO ana miaka 8, mtoto wa Katibu Mkuu wa Chama changu (ambaye haijulikani kama ni wa mwisho) ana umri wa majuma kadhaa. Sasa hapa sijui alikuwa anamaanisha nini...
Kama rais wetu angekuwa na maamuzi magumu tusingefika hapa watu wanatuhumiwa katika ufisadi rais anashindwa hata kuwaambia tu waajiuzulu.
Tazama rais alimuunga mkono waziri Mramba wakati alikuwa...
Mimi sina maneno mengi, nataka muangalie picha hizi kisha mtakachokiona mkitafakari.
Kinana anawanunua wazee waliokuwa awanachama wa CHADEMA.
Weka mbali na Tembo anajua biashara sana huyu...
maji yanapofika shingoni mtu hutapatapa (hasa ukiwa hujui kuogelea)
maji yanapofika shingoni mtu hutafuta chochote anachoweza kushika ili mradi asizame
maji yakifika shingoni mtu hupaniki na...
Wana Jf Zipo taarifa kuwa kesi ya mbunge wa Arusha Mjini, kusikilizwa upya kesho. nibaada ya wana CCM kutaka mahakama ya rufaa kuipitia upya hukumu hiyo inayo semekana kuwa kuna mambo ya kisheria...
ni kweli Mh JK amenishtua. leo amewakaribisha wa Turkish kuwekeza nchini kwenye sekta mbalimbali ikiwamo kilimo! yani kwa miaka zaidi ya 50 ya kuwa huru na kujitawala,leo tunamkaribisha bepari aje...
Wakuu JF,
Amani iwe kwenu.
Kwa sisi ambao Tunapata Kitoweo chetu kupitia Teknlojia ya Habari na Mawasiliano, kwenye kazi zetu kusikia kitu "Remote Monitoring" ni kama sala.
Hili ni kama Jina letu...
MH.EDWARD LOWASSA
WAUMINI na uongozi wa huduma ya injili na uponyaji ya Overcomers Power Center (OPC) chini ya Askofu Dkt Boaz Sollo inategemea kumtunuku tuzo ya heshima kwa mchango...
Jamvini oyee jumamosi ijayo m4c kanda ya magharibi kufanyika katika mkoa huu wa tabora.maneno hayo yametolewa na mwenyekiti wa mkoa chadema bw.kansa mbarouk alipokuwa akihutubia...
Wanachma na wadau wa CHADEMA SUA main campus , jana wamefanikiwa kuwachagua makamanda wao wa CHASO , Viongozi mbalimbal kutoka wilayani na mkoani walihudhuria , uchaguzi huo ulisimamiwa na...
Ukweli CHADEMA kilishanivutia sana, kabla na baada ya uchaguzi wa 2010 hadi 2011 mwishoni. Kwa sasa mwenendo wa CHADEMA sio mzuri ingawa wengi bado tunaona twende nayo tu.
Sasa najiuliza...
Wananchi wa mji wa Morogoro mjini kasoro Bahri wameponda M4C kampeni inayoratibiwa na CHADEMA na kuonya Watanzania wajifunze Misri Iraq Libya na kwingineko ambako watu wameweka mikono vichwani...
Leo wakati hakihitimisha hotuba ya ofisi ya Rais, amesema wamteke Kibanda ana kitu gani katika siasa ya Tz! Afadhali kama ingetokea ametekwa na kuteswa Mbowe au Dr. Slaa, ndio tungesema kidogo...
Kuna tetesi kuwa siri ya matusi bungeni ni mkakati maalum wa kuzima hoja nyeti hasa kuhusu uozo wa bajeti ya mwaka huu na kubaki kubishana katika mambo yasiyo na tija kwa taifa.
Jeshi la Polisi, Huku ndio tunataka kupeleka nchi yetu? Tunaipeleka kwa maslahi ya Nani
==========================================
KADA WA CHADEMA AUNDIWA KESI
Waliokamatwa na kosa waachiwa...
Jana gazeti la nipashe lilimnukuu naibu katibu mkuu wa CCM bara bwana Mwigulu Nchemba akidai mwaka 2013 kuwa mwaka wa kazi na kuzunguka nchi nzima kwa kutumia nguvu ya Mungu kama ambavyo CHADEMA...
Jeshi la Polisi nchini, limesema zipo dalili za kuibuka makundi ya kigaidi ndani ya nchi yakiratibiwa na makundi ya Al Qaeda na Al Shabab.
Kwa msingi huo, jeshi hilo limewataka viongozi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.