Hakwenda IAA kuleta fujo, alikwenda kuwaliwaza wanafunzi, aliwasihi, alihuzunika nao. Mkuu wa mkoa akaja na kiburi akamsweka Ndani Mbunge wa Arusha ndani ya jimbo lake akiongea na wananchi na...
Habari za uhakika kutoka Liwale mkoani Lindi ni kwamba wananchi wameingia mitaani kudai pesa za malipo ya pili ya korosho.
Polisi wameamua kujibu kwa kutumia mabomu, hali ni mbaya! Wananchi...
Wakuu,
Leo CHADEMA wanafanya mkutano wa hadhara jimbo la Mbeya mjini, nia ni kuendelea kushtaki uonevu unao fanywa na kiti cha spika.
Mkutano unafanyika kwenye kiwanja maarufu kilicho pewa...
Kilichotokea Arusha usiku wa jana hakina tofauti na mpango wa muda mrefu ambao umeanzia utekelezwaji wake kwa Lwakatare na viongozi wengine wa CHADEMA.
Kukamatwa kwa Lema ni mkakati mzuri kwa...
Nimekuwa nikiangalia matukio yanayotokea kwa sasa nchini nimegundua kwamba viongozi wengi wanaitumia amani iliyopo vibaya,
2 uoga wetu watanzania unatuponza kwa sbb viongozi wetu wanafanya...
halmashauri kuu ya CCM, wilaya ya Nachingwea iliyokutana juzi imeagiza Chama Kikuu cha Ushirika Mkoa wa Lindi cha Ilulu kuwalipa fedha zao wakulima wa korosho ili kuwaondolea kero.
CCm imesema...
Wanajamvi wote nawajulisha kuwa kesho kutakuwa na mikutano ya sita katika jimbo la Ndugu JOB NDUGAI lengo ni kuwaeleza wananachi wa Kongwa kuwa haki haibembelezwi ila inatafutwa kwa kupigania...
Ndugu wakuu, kumekuwa na dhana ya kuwa maeneo au majimbo ambayo CCM inapata kura nying katika chaguzi huonekana kwamba wakaz wa maeneo hayo hawana elimu ya uraia, hawajitambui na ni mbumbumbu...
Kuna tabia au mwenendo unaoleta utata wakati wabunge wanapochangiapo mada, makadilio, au miswada ya serikali inayowasilishwa bungeni. Utaona mbunge anapochangia hoja anaanza na kauli " Naunga...
Pamoja na jitihada za jinamizi mtu kuokoa jahazi, wamasai hawataki kusikia habari za ccm Loliondo!!
Tanzania's Maasai battle game hunters for grazing land
By Jason Patinkin Loliondo, Tanzania |...
Wanajamvi,
Kwa wale wanaofuatilia vyombo vya habari natumaini watakua wameshaona tangazo linalohusu haya makitu.
Wahusika pamoja na wenye mikweche kama ilivokua awali, pia wanajumuishwa wote...
Heshima kwenu.
Wakuu leo naomba tujadili suala hili NI KWANINI TANZANIA HAIPIGI HATUA ZA MAENDELEO KWA KASI KULINGANA NA RASILIMALI ZAKE??? NI NINI KIFANYIKE ILI TUPIGE HATUA ZAIDI YA MAENDELEO...
Nafurahishwa sana na utendaji kazi wa Deo Filikunjombe wa Ludewa(CCM). Bila kujali itikadi za chama anajaribu kusimamia ukweli jambo ambalo ni ngumu kwa wanaCCM wengi ingawa nahofia sana msimamo...
Alikuja chuoni baada ya kuitwa lakini alipofika akasema wanafunzi hawana adabu, pili hawezi kuongea bila kipaza sauti,tatu wanafunzi wasogee mbali wanaleta jasho,ndipo wanafunzi wakakasirika...
Kwa wapenzi,washabiki,wafuasi na wanachama wote Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA ndani na nje ya jimbo la serengeti tunawakaribisha katika ushiriki wa mchakato wa kura za maoni za kumpata...
Nakuuliza Mh Mkuu ni kesi ipi? uitakayo wewe unayotaka kumfungulia Lema ni Kesi ya Ugaidi ,Kesi ya Mauwaji ,Kesi ya Uhaini Kesi ya Ubakaji,Niipi unayoipenda Lazima utambue wako waliofungwa Miaka...
Ndugu wana jamii Forum nafuatilia kwa makini maadhimisho ya 49 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar inavyoonyesha hatukuwa na hotuba ya mgeni rasmi naona ni ngoma tu leo halafu kila mtu akate...
Habari ya kazi mkuu..
kwa kweli sijaamini na sijataka kuamini kwamba hata wewe kiongozi tunayekutegemea na uwe mkombozi wetu hapo baadae na hata kutufariji leo hii una tupilia mbali ahadi yako...
Profesa Mwandosya amekosoa uamuzi wa Sabodo kutoa msaada wa kuchimba visima kwenye majimbo ya wabunge wa CHADEMA! Alivyokuwa mburula na yeye amekiri kupewa msaada wake visima 100 jimboni mwake...
Hawa Jamaa wanakuja kwa kasi sana!! Lakini mbona hiki kiwanda cha Dangote kama kipo kisiasa sana?? Meli ya kwao ilivyoleta kontena za mashinery alikuja waziri kuipokea na kuongea na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.