Kutokana na kucheleweshwa pamoja na kushushwa kwa bei ya korosho kuliko sababisha vurugu Liwale, mwandishi wa BBC anatujuza kuwa sababu kubwa ni seriakali ya CCM kupoteza mwelekeo.
http://www.bbc.co.uk/news/world-africa-22282599
Ushauri wa bure kwa Nape na Kinana; badala ya kupoteza muda wenu kusambaza sumu Morogoro, Kilimanjaro nk, ni bora mkapige kambi, siyo kutemebelea, nasisitiza 'kupiga kambi kabisa' huko Liwale, mchukueni na Diamond na wengine, atleast wananchi wa Liwale wapunguze jaziba (najua hamuwezi kwa sababu you are stinking, the best you can do ni kupeleka majeshi).
Hili nalo CCM sijue mtamsingizia nani? Au mtawafukuza BBC Tanzania, kama kawaida yenu? Mtatafuta sana mchawi,..umeibiwa gari unajipiga sachi mifukoni...!! Haka kanchi kananuka!!
Naomba Mungu na CNN, Aljazeera na CCTV nao waje bongo au hata waripoti habari za bongo!