Waziri Mkuu Mizengo Pinda jana aliwataka wabunge wote wa CCM kutoa posho ya siku moja ili chama hicho kiweze kuwa na Fedha za kutosha kukabiliana na chama cha CHADEMA.
Pendekezo hilo lilitolewa...
Friday, 26 April 2013 19:28
President Jakaya Kikwete arrives at the National Stadium in Dar es Salaam ahead of celebrations to mark 49 years of the Union yesterday. His tenure is marred...
Nipo Muheza kata ya Mtindiro kijiji cha KWABADA kwa likizo yangu fupi, nimekuwa nikiongea na makundi mbalimbali ya vijana na wazee, wengi wao wanaonesha kuvutiwa na sera za CHADEMA na wamechoka na...
RAIS DK. JAKAYA KIKWETE AWAONGOZA WATANZANIA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 49 YA MUUNGANO UWANJA WA UHURU LEO
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. Jakaya Kikwete...
Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa rais mambo ya Muungano, Samia Suluhu ameelezea kuwa kwa sasa Zanzibar ni ruksa kukopa nje kwa kutumia jina la Muungano bila kuwa na haja ya kuishirikisha Serikali...
Dar es Salaam. Miezi mitano baada ya vigogo 16 wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kusimamishwa kazi na Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe, ili kupisha uchunguzi wa tuhuma...
Leo ni maadhimisho ya sherehe za muungano kati ya tanganyika na zanzibar uliozaa nchi ya tanzania..ni shamrashamra hapa uwanjani, rais wa jamhuri ya muungano anawaongoza watanzania katika tukio...
Funzo la Leo: Ukiitwa na polisi si lazima useme kitu. Unayo haki ya kukaa kimya. Lema (natumia mfano) wala asingetoa maelezo yoyote angewaacha wampigie kelele masikioni weeee lakini hasemi kitu...
Ukitafakari sana unaweza ukaona kama ni jambo rahisi
lakini ukitaka ukombozi wa kweli usio na mashaka ambao muda na wakati wowote ukiutaka utaupata zingatia haya yafuatayo;
1. jifanye wewe ni...
Nikiwa kama mdau wa siasa za Iringa,naomba nichukue nafasi hii kumpongeza Mh.Lukuvi kwa juhudi zote anazozifanya katika Bunge la JMT...Akiwa kama Mnadhimu kwa upande wa Serikali,ameonyesha kuimudu...
Ndugu zangu wanabodi,
CHADEMA ni chama kikuu cha upinzani Tanzania, kwa hadhi hii ilipo fikia CHADEMA na imani kubwa iliyojijengea kwa wananchi, nisingependa kukiona chama hiki kikidorola na...
Ukiangalia hali ya nchi ilivyo sasa utagundua yafuatayo
CCM iliasisi mfumo wa vyama vingi ili uwepo kisanii na baada ya hapo waliendelea kufanya mizengwe katika kila jambo ambalo lingepaswa...
CHADEMA ushauri wangu kwenu badala ya kukaa chini na kulalamika huu ni wakati mzuri wa kuligeuza tukio zima kwa ajili ya kujiimarisha na mtaji mkubwa mulongo aliotupatia wiki hii.
Nini cha...
Mwananchi: Msh. Ebu tueleze hawa wawekezaji (wazungu) wanao chimba madini ya eneo lako la wilaya una taarifa zozote na kama ndio nini hatima ya wananchi kuhusu kunufaika kwao?
Mbunge: Ndugu...
Kwa sasa nafurah kwa mwenendo wa nchi unavyoenda kuelekea ukomboiz na uhuru wa kweli kwa watanzania kupitia chama pendwa CHADEMA. Wakati maeneo mengi ya nchii hii yakiwa yameamka watanzania...
VIONGOZI WETU AMANI ZILISHINDIKANA KUPATIKANA KWA NGUVU ZA DOLA BALI ZILIPATIKANA KWA KUKAA MEZANI.
Tangu mwaka huu uanze, wananchi wa Tanzania tumeshuhudia matukio kadhaa ambayo katika macho...
Kiongozi wa kambi rasmi bungeni Mhe, Freeman Mbowe amepinga maamuzi ya naibuspika ya kuwatoa nje na kuwasimamisha sikutano baadhi ya wabunge wa chama hicho kutohuthuriwa vikao vya bunge kwa madai...
Wadau najitokeza leo kwa mara ya kwanza hapa JF kujaribu kuwashirikisha wakuu mnisaidie ufafanuzi kuhusu jambo hili ambalo nimelitafakari kwa siku kadhaa bila kupata jibu.
Nakukumbuka juzi Mh...
Sherehe za Muungano wa JMT zimepwaya . Sherehe hizo ambazo mkoani KAGERA wilaya ya Kyerwa, kata ya Isingiro ambapo mkuu wa mkoa Kanali Fabian Massawe watu wameshindwa kujitokeza kwa wingi.
My...
Imeandikwa na Mwandishi Wetu, Dodoma | Ijumaa, Aprili 19, 2013
*Naibu CAG aondolewa, Utouh atakiwa ajiandae kung'atuka
Hasira za watendaji kadhaa wa Serikali Kuu, Serikali za Mitaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.