Kakende
JF-Expert Member
- Aug 18, 2012
- 2,741
- 1,233
Katika kipindi cha tuongee siasa leo Asubuhi Star TV Mwenyekiti wa BAVICHA John Heche amesema tatizo vijana wa CCM wamelelewa kipropaganda
Mimi binafsi nakubaliana na John Heche, ni kweli hata humu Janvini utaona badala ya wafuasi wa CCM kusema mafanikio ya CCM badala yake wanajikita kwenye propaganda za kuchafua CHADEMA eti chama cha Ukanda, ukabila na sasa wamehamia kwenye ugaidi.
Kwa upande wa CHADEMA utaona wanapiga kelele kuhusu ufisadi, mimi naamini ukifanya analysis ya matatizo ya nchi hii utaona kuwa asilimia kubwa inasababishwa na uvujaji wa pesa kwenda kwa watu wachache matokeo yake serikali inashindwa kutekeleza miradi ya maendeleo
Swali kwa proCCM, hivi ni kweli hamna la kuwaambia watanzania kuhusu mambo mazuri yaliyofanywa na CC tangu tupate uhuru, na badala yake mnajikita kwenye propaganda?