TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Jana majira ya saa nne asubuhi nilipokea taarifa kutoka Chuo cha Uhasibu juu ya tukio la mauaji ya mwanafunzi yaliyotokea jana usiku kwa kuchomwa kisu eneo...
Pamoja na mengine mengi Nadhani ni muhimu sana kwa the young elite generation of Tanzania na Africa kwa ujumla sasa kufahamu the political economics and the evolution of the various development...
Nimemsikiliza Leo kupitia Radio 5 mkuu wa mkoa wa Arusha Magessa Mulongo ati anadai Lema amechochea 'vurugu na baadae kusababisa kifo' ivi anamaanisha ama anatutania watu wa Arusha na Mbunge...
Sitopenda kueleza mengi isipokuwa tuchukuwe kumbukumbu za nyuma zilizowahi kutolewa na Mwansheria wa Zanzibar wakati huo na kungwa mkono na Viongozi wa Zanzibar, Mwamsheria wa Zanzibar kwa wakati...
IJUMAA, APRILI 26, 2013 06:24 NA MAREGESI PAUL, DODOMA
*Lugora, Filikunjombe washambuliwa mbele ya Pinda
*Wajibu mapigo, Lugora asema acheni unafiki
WABUNGE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
"Success in almost any
field depends more on
energy and drive than it
does on intelligence. This
explains why we have so
many stupid leaders." -Sloan Wilson
Namuunga mkono Mh Msigwa...
TAARIFA KWA UMMA
MAUAJI YA MWANACHUO WA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA (HENRY KAGO) NA KAULI YA CHAFU YA MKUU WA MKOA WA ARUSHA
Ndugu wanahabari na wakazi wote wa mkoa wa Arusha.
Kwanza kabisa...
Mbowe awapongeza wabunge CCM: KIONGOZI wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, amepongeza msimamo wa wabunge hasa wa CCM kwa kuweka itikadi zao pembeni na kusimamia kidete suala la bajeti...
Serikali yoyote ile once ikiwa na power watu wake wanakuwa powerless.Yoyote anayetegemea Serikali utalala mlango nje .Uwe na goals work hard tafuta Mbinu tuu biashara au jiunge na mataifa Ya nje...
MBUNGE wa Kahama, James Lembeli (CCM), jana nusura azichape na mwekezaji raia wa Burundi, Mathius Basabusi, baada ya kutoleana maneno makali mbele ya wananchi. Raia huyo anadaiwa kujenga katika...
Watanzania wenzangu na makamanda wa ukwel, kwa mtu mwenye tarifa na kamanda wetu Mawazo kwa sasa yupo wap? Naomba atujuze maana ni mda mrefu hutujapata tarifa zake kamanda wetu, mwenye tarifa zake...
Nikiwa muathirika wa hili naomba serkali na mamlaka husika kuchunguza na kutuondoshea madhila haya ya usafiri
Leo saa kumi na mbili kamili nilikua kwenye oFfice ya azzam nikaambiwa boat imejaa...
na Happiness Mtweve, Dodoma
SERIKALI imesema wakuu wa mikoa si watumishi wa umma ila ni watumishi wa kisiasa kama ilivyo kwa wabunge.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa...
Katika kikao cha Bunge kinachoendelea mjini Dodoma wakati wa kuchangia bajeti ya ofisi ya Waziri mkuu Mbunge Kangi Lugola aliibua hoja nzito ya kwamba yawezekana kuna baadhi ya Mawaziri wa...
Chama Cha Wananchi (CUF), kimesema vurugu zinazoendelea bungeni zinasababishwa na Kambi Rasmi ya Upinzani inayoongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe...
Raisi Kikwete unapaswa kufanya maamuzi ya busara na ya haraka ya kumsimamisha kazi mkuu wa Mkoa wa Arusha bwana Magesa Mulongo ili kupisha uchunguzi wa tukio la vurugu liliotokea mkoani Arusha...
Msumari wa chuma ulipigiliwa kwenye kichwa cha Tanganyika kufuatia kutungwa kwa Sheria Namba 27 ya 1967 na Bunge la kawaida, iliyompa Rais uwezo wa kuweka neno Tanzania badala ya Tanganyika...
Jamani, dr. Peter bujali siku za nyuma alikuwa mwana siasa mahiri wa ccm hapa ngara. Siku hizi ni kimya kabisa. Wengi wanasema kwamba kimya chake ni maandalizi mazito ya kuvuka mto na kwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.